Je, unaweza kumuomba mumeo amuoe rafiki yako

Lakini huyo ni rafiki tena wa kushibana.... Unahisi nini kitaharibika ukimkaribisha kwa mumeo..??
Daaah. Kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.

Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
 
Itakua ni wanawake kutoka anga za juu hao..siku mke wangu akiniambia nimuoe rafiki yake naenda kopa pesa bank nikamnunulie BMW x1
 
Amlete na yeye rafiki yake wanile pamoja kama ni raha. Inauma wewe!!
Vipo vizuri vya kula pamoja ila siyo mume au mke.
Wewe kuwa na wengi haiwezekani, hata upagani hauruhusu... ila sisi kuwa na wengi ni jambo jema... Maana tunasaidia wengi... 1:4
 
Daaah. Kaka kile kitu kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.

Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
Na unayo mipaka yako ambayo mola wako mlezi amekuwekea. Basi nakusihi uchunge kauli zako usije ukakengeuka (kwani hilo linaweza kukutoa katika yale uyaaminiyo)
 
Back
Top Bottom