Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,321
- 115,321
Mi wa kwanza Kaka, yaani kwangu haupo kabisaaa. Tena kwa rafiki? lolHongera kwao... Ila hawa wa hapa kwa Magu sidhani kama wana upendo wa namna hiyo
Mi wa kwanza Kaka, yaani kwangu haupo kabisaaa. Tena kwa rafiki? lolHongera kwao... Ila hawa wa hapa kwa Magu sidhani kama wana upendo wa namna hiyo
Waendelee kupuuza hivyo hivyo jamani! Waseme wanapendwaHahahaha kweli ule usemi wa waishi nasi kwa akili wanaupuuzia sana
Atafute wake afaidiHutaki na mwenzio afaidi..
Amlete na yeye rafiki yake wanile pamoja kama ni raha. Inauma wewe!!Hiyo ni kesi nyingine...!!! Kizuri ulege na nduguyo... Ili muweze kubalance ile ratio...
Na inawaumiza sana jamanii!Ila hii kitu ya kuoa mke zaidi ya mmoja Mimi naona Ipo kukandamiza wanawake.
Asante Mungu imani yangu ni mke mmoja tuu.
Hahaha hahaha hahahaKama umpi mumeo nipe mimi basi
Waendelee kupuuza hivyo hivyo jamani! Waseme wanapendwa
Mi wa kwanza Kaka, yaani kwangu haupo kabisaaa. Tena kwa rafiki? lol
Na wanamsifia si kidogo!Basi hapa wanaume watamsifiaje huyo mama wawili!!
Hapo wanawake watakuwa na adabu sana hamna kurishwa game kijinga jinga. Anajua akikunyina unaenda kupata kwa Salha
Daaah. Kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.Lakini huyo ni rafiki tena wa kushibana.... Unahisi nini kitaharibika ukimkaribisha kwa mumeo..??
Kama umpi mumeo nipe mimi basi
Wewe kuwa na wengi haiwezekani, hata upagani hauruhusu... ila sisi kuwa na wengi ni jambo jema... Maana tunasaidia wengi... 1:4Amlete na yeye rafiki yake wanile pamoja kama ni raha. Inauma wewe!!
Vipo vizuri vya kula pamoja ila siyo mume au mke.
Aku...me nataka full time..Zamu zamu wiki hii mke mkubwa wiki inayofuata mke mdogo kwa raha zenu.
😜😜
Na unayo mipaka yako ambayo mola wako mlezi amekuwekea. Basi nakusihi uchunge kauli zako usije ukakengeuka (kwani hilo linaweza kukutoa katika yale uyaaminiyo)Daaah. Kaka kile kitu kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.
Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
Aku...me nataka full time..