JE ? Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba haliyakuwa mimba si yako.

H sanny

JF-Expert Member
May 25, 2018
245
298
Habari ndugu zangu wa Jf .
Naomb niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kutuma uzi huu,
Tar. ...../11/..... nilimtongoza mwanamke aliyekuwa akikaa mtaa wa pili . Mara ya kwanza alikuwa anagoma lakin baadae Alinikubalia tukaanzisha mausiano, ilikuwa kila siku lazima tuonane na tukae zaidi ya masaa matatu tukizungumza.
Baada ya wiki mbili akaniambia mr........ mwenzako ninaujauzito na baba mwenye mtoto amenikana, nikamuuliza huo ujauzito una mda gani akaniambia una miezi miwili, nikamuuliza tena dhumuni la kuniambia hili swala wakati huu ni nn, akaniambia anaitaji nimpeleke clinic kwa sabab bila ya baba awezi kupokelewa ,nikamuuliza tena kwann ukuniambia mapema, akanijibu aliogopa nitamuacha, kwa uzuri ya yule mwanamke nilihisi ananipima imani.
Lakini kesho yake nikampeleka clinic na kwel alikuwa na mimba, tukapimwa kila kitu kikawa fresh na kweny swala la jina la baba mtot aliniomba nisiandike jina langu na nilifanya kama atakavyo.
Tukawa tunaendelea na mausiano kama kawaida lakini nilimwambia kuwa awaze kuhus mtot na siyo mapenz nashukur alinielewa, swala la kukutana kila cku likapungua kidogo ikawa ni mara tatu kwa wiki .
Sas swala linakuja hivi anaomba awe anafanya mapenzi na mimi akidau kuwa nesi alimwambia awe anafanya mapenzi asikae kizembe.
Nimemuomba nitafakari sijui nimpe jibu gani naogop kufany mapenz n yeye ..
Ndug zang naomb mnisaidie kwa mawazo ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tatizo niww kujua kuwa ana mimba?ila kabla hujajua ulikuwa unanyonya mpk kipapa vzr tu.


Mungu akusamehe
 
Kama uliamua kumsaidia hadi ukampeleka clinic sioni ubaya kumsaidia kupanua njia. Tena ikiwezekana piga kavu kabisa ili ufaidi vizuri lile joto
 
Back
Top Bottom