Je, unaweza date na Primary School classmate wako?

Mimi nilikuwa na kampen ya kuwapitia warembo niliosoma nao primary; nilifanikiwa wanne.
 
Wadau kwema.

Mwenzenu kuna manzi nilisomaga nae primary school huko Kazulamimba years ago, sasa kupitia haya ma Group ya WhatsApp mtoto wa kike tumezoeana gafla na viutani vya hapa na pale vya kuitana "mine", dear, nimetokea ku fall in love na yeye gafla,

Imefikia hatua napanga nimuangushie maneno yaliko moyoni, japo kuna roho nyingine inanipa swali utawezaje date na msichana niliyesoma naye Primary School?

Wadau embu niliwasilishe katika board room yenu, share your comment on this. Can you Do it?
Wasalimie Sengerema
 
Wewe kweliii wa kazulamimba Kama siyo nguruka utakuwa unaka usingee mie nadate na mwalim aliyenifundisha darasa la tatu mwaka 1998 tafakar Sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom