Je, unaufahamu ugonjwa wanaumwa wanasiasa wengi? soma hapa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
NOTE: Thread hii haijamlenga mtu yeyote yule, thread hii inalengo la kuelezea ugonjwa huu ambao inaonekana wanasiasa wengi wanao.

‘’Narcissistic personality disorder’’ ni aina ya ugonjwa wa utu, ugonjwa huu unachangiwa na mtu kujiona wa muhimu sana, anahitajika kuonekana zaidi na pia kupendwa kupita kiasi. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa hana mahusiano mazuri na kukosa huruma kwa watu wengine, mgonjwa huyu huwa na hali ya kujiamini kupita kiasi. Ugonjwa huu humfanya mtu kuwa kukosa furaha endapo hajapewa kipaumbele katika baadhi ya mambo au kupewa heshima ambayo anahisi anastahili, mtu na wa namna hii si rahisi kuwaamini watu waliokaribu na yeye.

DALILI ZA UGONJWA HUU

Kujiamini kupita kiasi, Kuhitaji heshima na kupendwa muda wote, Kujiona mshindi katika kila jambo hata kama si kweli, Kujisifu katika mambo usiyostahili, Kutawala katika mazungumzo ili aonekane yeye tu, Kutokuwa na uwezo wa kutambua mahitaji na hisia za wengine na Kujihisi upo sahihi katika kila jambo.

Watu wenye ugonjwa huu wa ‘’narcissistic’’ hupata wakati mgumu sana pindi; wasiposifiwa hata wasipofanya jambo la maana, hawana uwezo wa kuzuia hisia na tabia zao, kudharau wengine na kuwafanya hawana lolote la maana na muda wote wanajihisi hawapo salama.

CHANZO CHA UGONJWA HUU

Sababu kubwa za ugonjwa zipo tatu; 1. Mazingira – hii hutokana na kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wazazi na mtoto wakati wa ukuaji 2. Tabia ya kurithi 3. Uhusiano wa ubongo, tabia na fikra

Tafiti zinaonyesha kwamba ugonjwa huu unaathiri sana wanaume kuliko wanawake na mara nyingi huanzia utotoni.

Pamoja na madhara mengi ya huu ugonjwa, moja kubwa ni kwamba hupelekea mgonjwa kujiua.

MATIBABU

- Ugonjwa huu hauna dawa, ni vema kwa mgonjwa kumuona mwanasaikolojia kwa ushauri zaidi.

Sources:

American Psychiatric Association

Center for Substance Abuse Treatment
 
Sasa nimeufahamu na ndiyo sababu hapa nchini kwetu wagonjwa ni wengi mno na sio wanasiasa tu hata baadhi ya watu, Maboss & Wakurugenzi wa makampuni mbalimbali wanaumwa sana tu.

Ahsante sana kwa huu uzi ndugu.
 
karibu sana
 
NOTE: Thread hii haijamlenga mtu yeyote yule, thread hii inalengo la kuelezea ugonjwa huu ambao inaonekana wanasiasa wengi wanao.

‘’Narcissistic personality disorder’’ ni aina ya ugonjwa wa utu, ugonjwa huu unachangiwa na mtu kujiona wa muhimu sana, anahitajika kuonekana zaidi na pia kupendwa kupita kiasi. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa hana mahusiano mazuri na kukosa huruma kwa watu wengine, mgonjwa huyu huwa na hali ya kujiamini kupita kiasi. Ugonjwa huu humfanya mtu kuwa kukosa furaha endapo hajapewa kipaumbele katika baadhi ya mambo au kupewa heshima ambayo anahisi anastahili, mtu na wa namna hii si rahisi kuwaamini watu waliokaribu na yeye.

DALILI ZA UGONJWA HUU

Kujiamini kupita kiasi, Kuhitaji heshima na kupendwa muda wote, Kujiona mshindi katika kila jambo hata kama si kweli, Kujisifu katika mambo usiyostahili, Kutawala katika mazungumzo ili aonekane yeye tu, Kutokuwa na uwezo wa kutambua mahitaji na hisia za wengine na Kujihisi upo sahihi katika kila jambo.

Watu wenye ugonjwa huu wa ‘’narcissistic’’ hupata wakati mgumu sana pindi; wasiposifiwa hata wasipofanya jambo la maana, hawana uwezo wa kuzuia hisia na tabia zao, kudharau wengine na kuwafanya hawana lolote la maana na muda wote wanajihisi hawapo salama.

CHANZO CHA UGONJWA HUU

Sababu kubwa za ugonjwa zipo tatu; 1. Mazingira – hii hutokana na kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wazazi na mtoto 2. Tabia ya kurithi 3. Uhusiano wa ubongo, tabia na fikra

Tafiti zinaonyesha kwamba ugonjwa huu unaathiri sana wanaume kuliko wanawake na mara nyingi huanzia utotoni.

Pamoja na madhara mengi ya huu ugonjwa, moja kubwa na kwamba hupelekea mgonjwa kujiua.

MATIBABU

- Ugonjwa huu hauna dawa, ni vema kwa mgonjwa kumuona mwanasaikolojia kwa ushauri zaidi.

Sources:

American Psychiatric Association

Center for Substance Abuse Treatment
Mkuu,hii thread ni kali,na nimeipenda. Niongezee kaneno " Wakiona wasiwasi umezidi kwa kushindwa kutukuzwa wanavyotaka , wanahamia kwenye dini "Mniombee" .
 
NIMEAMKA NA KICHEKO hahaha umetisha
Usitishike Ndugu yangu,hii dunia kuna watu wanapenda ukubwa balaa. Na hii thread kwangu,imenipa tafsiri kubwa sanaa. Kuna vitu ukiviangalia vinavyofanywa na baadhi ya wanasiasa,hata mtoto wa kindergaten asingefanya hivyo,na hii yote ni kule "kujisikia,dharau,kutoheshimu wenzako,kutoambilika,kibri" nk.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
NOTE: Thread hii haijamlenga mtu yeyote yule, thread hii inalengo la kuelezea ugonjwa huu ambao inaonekana wanasiasa wengi wanao.

‘’Narcissistic personality disorder’’ ni aina ya ugonjwa wa utu, ugonjwa huu unachangiwa na mtu kujiona wa muhimu sana, anahitajika kuonekana zaidi na pia kupendwa kupita kiasi. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa hana mahusiano mazuri na kukosa huruma kwa watu wengine, mgonjwa huyu huwa na hali ya kujiamini kupita kiasi. Ugonjwa huu humfanya mtu kuwa kukosa furaha endapo hajapewa kipaumbele katika baadhi ya mambo au kupewa heshima ambayo anahisi anastahili, mtu na wa namna hii si rahisi kuwaamini watu waliokaribu na yeye.

DALILI ZA UGONJWA HUU

Kujiamini kupita kiasi, Kuhitaji heshima na kupendwa muda wote, Kujiona mshindi katika kila jambo hata kama si kweli, Kujisifu katika mambo usiyostahili, Kutawala katika mazungumzo ili aonekane yeye tu, Kutokuwa na uwezo wa kutambua mahitaji na hisia za wengine na Kujihisi upo sahihi katika kila jambo.

Watu wenye ugonjwa huu wa ‘’narcissistic’’ hupata wakati mgumu sana pindi; wasiposifiwa hata wasipofanya jambo la maana, hawana uwezo wa kuzuia hisia na tabia zao, kudharau wengine na kuwafanya hawana lolote la maana na muda wote wanajihisi hawapo salama.

CHANZO CHA UGONJWA HUU

Sababu kubwa za ugonjwa zipo tatu; 1. Mazingira – hii hutokana na kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wazazi na mtoto wakati wa ukuaji 2. Tabia ya kurithi 3. Uhusiano wa ubongo, tabia na fikra

Tafiti zinaonyesha kwamba ugonjwa huu unaathiri sana wanaume kuliko wanawake na mara nyingi huanzia utotoni.

Pamoja na madhara mengi ya huu ugonjwa, moja kubwa ni kwamba hupelekea mgonjwa kujiua.

MATIBABU

- Ugonjwa huu hauna dawa, ni vema kwa mgonjwa kumuona mwanasaikolojia kwa ushauri zaidi.

Sources:

American Psychiatric Association

Center for Substance Abuse Treatment
Huu ugonjwa sawa na ule uliosemwa na watu wa dini zote
Muonee huruma tajiri aliyefilisika kuliko mgonjwa aliyelazwa hospitali
Bimaana tajiri aliyefilisika hutembea barabarani akiongea peke yake huku akirusharusha miko hovyo
Na siasa akikikosa alichokusudia basi huzungukazunguka kote kutafuta huruma bila kukumbuka aliyokua akitenda ktk nasafi zake za kisiasa akiwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom