Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
6,331
10,751
Habari menu,

Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.

Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu.

Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years

Anyone else uses a chopping board like me, just wondering

Tecno yangu haitoi quality picha

ASANTENI KWA MAONI
Nikweli chopping board yangu...imechoka... nashukuru kwa maoni yenu...ILA SINUNUI mpyaaa..hata kidogo..Hadi ikatike vipande vipande ndo ntaacha kuitumiaaa...

Kama Kuna mtu anazo mbili...anitumie moja ....

Nawaombea nanyie mnunue zenu Asante
 

Attachments

  • IMG_20210304_185817.jpg
    IMG_20210304_185817.jpg
    53.6 KB · Views: 34
Nakata na kisu, carrot na chop na ile ya kushika mkononi (sijui inaitwaje) sijawahi kujikata.

Mboga za majani nikiwa home anakata Mama uwa namuomba anikatie, kama hayupo natumia cutting/ chopping board.

Nikiwa kwangu muuzaji wetu uwa anatukatia. Binafsi siwezi kukata mboga kwa kuishikilia mkononi
 
Nakata na kisu, carrot na chop na ile ya kushika mkononi (sijui inaitwaje) sijawahi kujikata.

Mboga za majani nikiwa home anakata Mama uwa namuomba anikatie, kama hayupo natumia cutting/ chopping board. Nikiwa kwangu muuzaji wetu uwa anatukatia.... Binafsi siwezi kukata mboga kwa kuishikilia mkononi
Mimi kukata mboga kwa kutumi mkono naweza ila naona kama.nachelewa, so I use chopping board. Ila nyanya mapishi yangu Mengi hua nasaga kwenye blender.

But kitunguuu, carrots hoho ... Natumia chopping board. Nlikua naangalia kwenye food Network DStV... kipindi kinatwa chopped.... Napenda Sana machef wenye amazing knife skills.

I love cooking. I am a food lover
 
Habari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana nakisu...vidole..
Gheto sinaga chopping board, ila natumiaga kibao cha kusukumia chapati .

Vitunguu lazima nikate in round shape. Hoho lazima nikate vyembamba sana alafu ndogo ndogo.

Ila Quetzal baby, hivyo vitunguu vyako mbona umevikata kitemi sana?
 
Gheto sinaga chopping board, ila natumiaga kibao cha kusukumia chapati .

Vitunguu lazima nikate in round shape. Hoho lazima nikate vyembamba sana alafu ndogo ndogo.

Ila Quetzal baby, hivyo vitunguu vyako mbona umevikata kitemi sana?
Tupo sawa me nikiwa maskani ..huwa napenda kujipikia mwenyewe Kama wife hayupo ....Wala binti wa kazi ..me na Jembe langu hao jikoni ..kibao Cha chapati Kiko wapi Ni mwendo wa kukata Tuu.

Anyway mtoa mada kanikumbusha wacha ninunue leo.
 
Back
Top Bottom