Je, unatengeza App au website ambayo itahitaji kutuma api sms/ bulk sms / schedule sms/ manage contacts?

Lizharry

Member
Jul 21, 2016
15
7
Je, unatengeneza APP au website ambayo itahitaji Bulk SMS / API SMS?

Kama wewe ni mmoja wa Developers wa Website au App na ungependa kutumia mfumo wa API SMS/ Bulk SMS, bado hujachelewa hata kidogo.

Unachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti Bongo Live bure na baada ya kufungua utawekewa sms bure kwenye akaunti yako ili uweze kutest ufanisi wa platform pamoja na API.

API documentation zipo kwenye website ya Bongo Live.

Kwa msaada zaidi piga 0659457652
 
Sijaelewa mkuu. Nina retrieve data gani kutoka kwenye hizo Api's?.Na je ni bure?
 
Sijaeleweka wapi dear so I can clarify?
Ungeweka na idadi ya Test SMS mtu anapewa kwa kila akaunti, credentials za aina gani anahitaji kuwa nazo ili kupata akaunti, makato kama yapo kila mwezi na kama kuna expiry kwenye sms anazonununua.

Few things I can think on the top of my head...
 
Okay this is well noted ahsante, nitaadd maelezo zaidi kwenye next thread mkuu ila to get started user anasign up tu kwa kuweka emails, phone no, username ili kupata account then anawekewa 10sms kwenye account. Yes makato yapo utakapoanza kutuma SMS ambapo kila SMS ni Tsh 25Tsh na bei inakua inapungua kulingana na kiwango cha SMS utakazokua unanunua. SMS zinakaa 1 year ndo zinaexpire na SMS zinaisha pia kulingana na matumizi
 
Hapo kwenye kuweka namba ya simu nadhani mnaenda too far prematurely. Imagine mtu anataka ku test na hana uhakika then unakwambia aji commit na kuweka that much details. Ingekuwa vyema namba ya simu ikawa kwa wale ambao wameamua kutumia huduma yenu. Ita boost number ya testers hence potential customers
 
Back
Top Bottom