Natamani Zero IQ arithi id yanguiwe member au ndugu zako je Unatamani nani Ukifa Arithi ID Name yako ya hapa Jamii Forum?
Cc Zero IQ
Acha kuwaza ujingaiwe member au ndugu zako je Unatamani nani Ukifa Arithi ID Name yako ya hapa Jamii Forum?
Cc Zero IQ
Kuna member mmoja hivi natamani sana arithi ID yangu nikifa
Acha uchochezi basi manake unajua kabisa hawawezi kuwa hao 😅Utakuwa unatamani Katoto Kazuri au Unique Flower.
Hii nitamuachia mpenzi wangu
financial services
Asante,itabidi nikubali kuachika sasaMaskini pole
Asante,itabidi nikubali kuachika sasa
Asante sana dear xUkiachwa achika.
Halafu i have been waiting for you