Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Unataka Kuowa Mchagga???

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kyakya, May 5, 2009.

 1. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 396
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna mahala nimeona hii habari nikaona si vyema ikakupita kama nawe bado ujaiona!!! Kama tayari well and good…

  There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

  WAMACHAME: Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo, ukiwa katikati mama amakwambia stoooooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha, ukitaka ongeza ndio uendelee. Said unasikia nasema MKE WA NDOA!

  WAKIBOSHO: Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

  WAURU: Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

  WA-OLD MOSHI: Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi Said nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii

  WAMARANGU: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

  WAROMBO: Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya .

  Rafiki yangu mwana-JF amua mwenyewe lakini waweza enda Rombo (wachapa kazi) au Uru (wasomi).
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,846
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Du sasa kati ya hao: ni nani warembo zaidi?
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,775
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Warembo zaidi ni wale wa kule kwetu..
   
 4. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 231
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du!
  Hii ina furahisha sana, nilikuwa nashangaa jinsi mabinti wengi wanavyoolewa kwa harusi hapa mjini Bongo, nikawa na maswali mengiiii.....i. Kwa nini wao tu? Wana nini cha zaidi?
  Nimeanza kujua sababu sasa; Weakness zao ziko wazi, zinafahamika. Kwa hiyo wanaume wanakubali kuwa ni heri huyu ninayejua udhaifu wake kuliko hawa wengine wenye madhaifu lakini hayajulikani wazi. Endeleeni kuweka wazi weakness za dada wa Kichaga ili waendelee kupata soko.
  NAWASILISHA
  Mtani wao
   
 5. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nafikiri hizo nyingi ni strengths na nawashauri wa kusini wenzangu muende kuwowa hako. Wadada wa kichaga ni bomba na siku hizi nasikia wanajifunza penzi hivyo wako fiti idara zote yaani figure, sura na love. We mtani ni mpare? dada zako mbona husemi?:)
   
Loading...