Je unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza websites na hujui pa kuanzia?

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,431
Habari wana jf!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, kama ulikua unahitaji kujifunza web development au computer programming na hujapata mwongozo wa wapi pa kuanzia!

basi pita katika channel yetu na ujifunze!!

Channel link: AfriCom Developers

Pitia hii video kujua unaanzia wapi ukitaka kuwa Computer programmer!


Pitia hii viedo kujua unaanzia wapi ukitaka kuanza kujifunza website development!



Please subscribe kwenye channel ili uweze kupata updates za new videos

AfriCom Developers

Karibu sana!
 
Back
Top Bottom