why should i?
.....hehehe!Sure,
Unless you have got a reasonable reason to do that. Under normal circumstance, such passwords and the like should be accessible!
Under abnormal surcumstances ndo unatafuta njia ya kuipata bila yy kuwa na ridhaa?Sure,
Unless you have got a reasonable reason to do that. Under normal circumstance, such passwords and the like should be accessible!
Ninafanya kwa email tu bado kidogo nitafanya ya simu.
Wale wana forum ambao mnataka service kwa upande wa simu wawe macho it w'll be soon.
Alafu ni vizuri kujuwa kinacho endelea.Kati yako na mpenzio.
Hata kujuwa uhaminifu wa rafiki yake.
Hii ni hatari sana, kwa maneno yako tu whether your joking or your serious you deserve to be under investigation hivi ni vitu serious sana ndugu usiongeongee tu kufurahisha baraza hapa ooh
Ninafanya kwa email tu bado kidogo nitafanya ya simu.
Wale wana forum ambao mnataka service kwa upande wa simu wawe macho it w'll be soon.
Alafu ni vizuri kujuwa kinacho endelea.Kati yako na mpenzio.
Hata kujuwa uhaminifu wa rafiki yake.
nafikiri swala lipo wazi kwa wanaoitaji huduma wawasiliane na mhusika kwani atatukichanguia faida na hasara hutomzui mtu kutumia huduma yenyewe