Je unataka juwa inbox ya mpenzi wako

Mkimagi

Member
Jan 30, 2010
26
0
Hi wana forum.
Asante kwa ushauri wenu.
Nimeamuwa kuachana na hii kitu.
Samahani wana forum wote.
Lakini hii software inaweza kutumika for home intelligence kwa hajili ya kumonita watoto.
Asanteni.
 
Si vizuri watu kufanya hivyo, we should respect other people's privacy!
 
Sure,

Unless you have got a reasonable reason to do that. Under normal circumstance, such passwords and the like should be accessible!
.....hehehe!
it is better vitu vingine ''vikaachwa tu'' kama vilivyo!kama mtu sio mwaminifu ATAENDELEA KUTOKUWA MWAMINIFU hata kama utaaccess mails,simu nk

the question of being faithful IS HAPPENING IN ONE'S HEAD/MIND!i mean mtu kuwa mwaminifu ni swala la yeye kuamua na sio kushurutishwa
 
Za kompyta hazina dili. Nataka kujua kinachoendelea kwenye sim ya mamsap bila yy kujua
 
Ninafanya kwa email tu bado kidogo nitafanya ya simu.
Wale wana forum ambao mnataka service kwa upande wa simu wawe macho it w'll be soon.
Alafu ni vizuri kujuwa kinacho endelea.Kati yako na mpenzio.
Hata kujuwa uhaminifu wa rafiki yake.
 
Salaam tena wana forum.
Jamani naomba watu ambao amna shida na hii service naomba msichafue hii post waacheni watu wenye shida wasaidiwe!
Jamani wana forums be seriously!
 
Tuheshimiane, tuaminiane. Kila mtu ana haki ya kuthaminiwa na kutambuliwa utu wake, hii ni pamoja na usiri wa mambo yake binafsi. Kudodosoana na kuchokoana kutaamsha madudu yaliyolala, afu tutaletewa thread humu ndani. "...niliomba password ya mupenzi ya e mail yake, niliyoyakuta yamenifanya kuvunja ndoa yangu..." Nani atakaye amua majuto kama hayo humu kwenye forums?
 
Sure,

Unless you have got a reasonable reason to do that. Under normal circumstance, such passwords and the like should be accessible!
Under abnormal surcumstances ndo unatafuta njia ya kuipata bila yy kuwa na ridhaa?
Dark City naona sasa unaelekea MODECO kama sio Orlando.
 
Mkimagi unaweza kujua password ya mwenzio hata kama yuko mbali?,mfano uk na mie niko Tz?,yaani ambao hatutumii computer moja?,au sina access na computer anayotumia!!
 
Ninafanya kwa email tu bado kidogo nitafanya ya simu.
Wale wana forum ambao mnataka service kwa upande wa simu wawe macho it w'll be soon.
Alafu ni vizuri kujuwa kinacho endelea.Kati yako na mpenzio.
Hata kujuwa uhaminifu wa rafiki yake.

Mtu kama akitaka kujua pass word ya email adress ya mkewe/mumewe si amuombe tuu! ya nini kuanza ku play ukachero wakati mume/mke ni wako mwenyewe???

akikunyima ndio uanze kutafuta sababu kwa nini kakataa, kama anacheat utampata tu hakuna lazima ya kum kachero mtu mzima na akili zake, wala hakuna haja ya kwenda ku chungulia inbox zake
 
People have got all the rights to sue you. Uwasaidie ili iweje? Sheria ni msumeno kumbuka
 
Hii ni hatari sana, kwa maneno yako tu whether your joking or your serious you deserve to be under investigation hivi ni vitu serious sana ndugu usiongeongee tu kufurahisha baraza hapa ooh:mad:
 
Hii ni hatari sana, kwa maneno yako tu whether your joking or your serious you deserve to be under investigation hivi ni vitu serious sana ndugu usiongeongee tu kufurahisha baraza hapa ooh:mad:

Thank you RayB...Watu wanavichukulia vitu hivi juu juu bila kuangalia implications zake ambazo zinaweza kuwa kubwa sana.
 
nafikiri swala lipo wazi kwa wanaoitaji huduma wawasiliane na mhusika kwani atatukichanguia faida na hasara hutomzui mtu kutumia huduma yenyewe
 
Ninafanya kwa email tu bado kidogo nitafanya ya simu.
Wale wana forum ambao mnataka service kwa upande wa simu wawe macho it w'll be soon.
Alafu ni vizuri kujuwa kinacho endelea.Kati yako na mpenzio.
Hata kujuwa uhaminifu wa rafiki yake.

Wewe kwa kiingereza unaitwa HACKER sasa unakuwa internet hacker na soon you will be mobile phone hacker watu wanaoweza kuaaccess passwords za watu au information without their consent and its not right. Kwa nchi za wenzetu ungechukuliwa hatua kwa sababu unainvade privacy ya mtu through hacking. Nakuomba uache try something else which will be useful than indulge yourself in other peoples business plus hao unaotaka wajoin your clique its not right.
 
nafikiri swala lipo wazi kwa wanaoitaji huduma wawasiliane na mhusika kwani atatukichanguia faida na hasara hutomzui mtu kutumia huduma yenyewe

Sure lakini still ukweli unabaki pale pale kwa sasa hii ni serious crime in the globe kwahiyo kama unaona ndugu yako anakwenda astray kwa either kutojua au kwa kujisahau au kwa makusudi basi haida budi kumkumbusha hasara zake na huwezi kumuacha aendelee while you know he is blindly heading to the pit.
 
Back
Top Bottom