Je, unapendelea futari gani mwezi huu wa Ramadhani

The MaskmaN

The MaskmaN

Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
73
Points
150
The MaskmaN

The MaskmaN

Member
Joined Sep 28, 2017
73 150
Habari wana JF,

Karibuni tujuzane futari unayopenda kula mwezi huu wa Ramadhani.

Kwa upande wangu napenda sana tambi na maharage alafu na mchuzi wa samaki.
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
15,513
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
15,513 2,000
Mihogo ya nazi iliyochanganywa na samaki kibua,tambi,chapati,bagia,samosa nyama,maharage ya nazi na chai/juice ya matunda/maziwa fresh bila kusahau Maji yaso baridi sana..inshaAlah karibuni jioni hii.
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,086
Points
2,000
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,086 2,000
Mihogo ya nazi iliyochanganywa na samaki kibua,tambi,chapati,bagia,samosa nyama,maharage ya nazi na chai/juice ya matunda/maziwa fresh bila kusahau Maji yaso baridi sana..inshaAlah karibuni jioni hii.
Duh too much food aisee. Vyote vinachanganyika kwenye tumbo la mtu mmoja?
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
10,844
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
10,844 2,000
Sisi ambao tunafunga uongl hua tunafaidi sana ule mda wa kufturu maana tunakuwa wa kwanza kunawa mikono na kuwahi kwenye mkeka
 

Forum statistics

Threads 1,304,623
Members 501,483
Posts 31,521,125
Top