Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

Dunia ya sasa kama unafahamu vizuri code hakika utakua umekula bingo ila kuna code za muhimu lazima uzijue hakika ukishazijua utakua
  1. Html5

Html5 ni mark up language ambayo inafanya kazi pamoja na language zote java,php,python,javascript n.k yaani ni hivi n kwenye html nyuma yake kuna js,php, python code ambazo zina command au kuridect wewe pindi ufungapo website,au aplication HTML naweza kusema ni kama body la gari kwa juu ila kuna vifaa ambavo vinaifanya itembee kama engine ,mfano ukichomeka ufunguo gari liwake ,kama hamna mafuta gari lisiwake ndo hvo hvo Html bila javascript haiwezi kwenda sawawa.

2.CSS
CSS ni moja ya aina ya style ya kupendezesha website yako iwe na muonekano mzuri sana hii ni moja ya language maalumu sana ambayo unapaswa kuifahamu kwa maani usipoifahamu hii language hakika hutoweza kupendesha website yako au application yako.

3.javascript
Hii nayo ni moja ya language muhimu sana kama unataka kuwa developer hii ni maarufu kwa back to end front page.

4.Php/mysql/sql
Hii sasa ndo best programming language ambayo inatumika kwenye dyanmic website, na pia inatumika sana kwenye kuunganisha na mysql database ,hakika ukihifahamu hii language vizuri utakuwa umekula bingo na ukitaka uweze kuifahamu hii langauge kiurahisi lazima uwe na msingi wa javascript na htmls maana PhP haina tofauti sana na javascript almost vitu vingi vinafanana.

Programming language zipo nyingi sana ila kwa mimi nakushauri kama unataka kuwa expert wa webdeveloper na mobile application jifunze hizo hapo juu nenda step by step hakika utafanikiwa
programming language nyingine ni kama hizi
1.python
2.c#
3.c++
4.cc++
hii zinatumika sana sana kwenye mobile appliocation c++ na kutengeneza video games

Huu uzi utakua update nitakupa Tips muhimu za Kusoma ili uweze kujua uanzie wapi na uishie wapi nitaanza na Html ni vitu gani vya msingi unapaswa kuvifahamu ni hivi hapa.
1.htmls tags example <div></div>, <span><figure></figure><img> <frame></frame>,<label><input><nav></nav><html></html>,<ol></ol>,<ul> </ul><option></option> zipo nyingi sana ila hizi ni baadhi tuu ambazo nimezihorodhesha hapa
Html tag nini? html tag huanza mwanzo wa code na mwisho unafunga mfano
<div> Mimi napenda sana kujifunza html</div> cha kwanza kabisa ni lazima uelewe hizi tag na zinafanyeje kazi unazisoma kwa umakini mkubwa taratibu huku ukianza taratibu wala usiwe na haraka na kuna kitu kinaitwa <!doctype html> watu wengi najua hawafahamu maana ya hili neno doctype na kwa nini tuzianze tuu na <htm> kesho nitaelezea na Tutaanza kutengeneza website yetu kwa kutumia html na css na javascript
Website yetu tutatengenez kwanza <heading> ambayo itakua na
Navigation menu, slide show na content pamoja na Footer

Mwenye swali lolote kuhusu hizo language hapo juu aulize nitamjibu ipasavyo

Amini kupitia huu uzi utweza kufanya vitu vifuatavyo
1.Tutatengeneza Programm kwa ajili ya Matumizi yako ya mwezi, week, mpaka mwaka,
2.Utaweza kutengeneza database yako ya Dukani kwako, na Pia system ya Ofisini
3.Utaweza kutengeneza website yako nzuri inayohusiana na Mambo ya (kuuza bidha online) na Website kwa ajili ya Mziki,kilimo,n.k stay calm tutaenda hatua kwa Hatua

UPDATE:
Before hatujaanza kutengeneza hizi website,application na database ni lazima tujue vitu muhimu vya kujifunza
kwenye Html,java,javscripts,php, na css

Html

Tutajifunza jinsi ya kuweka picha, kuweka link,kuweka videos, footer,slideshow,navigation bar,table,list,contents, tags nk
Javascript
hapa tutakiwa kujua vitu vifuatavyo
1.promt,alert,variables, strings,boolen,function, array,associated array,protoypes,constructor, object constructor, inherting constructor,

Php
haina tofauti sana na javascript (kwa sababu kwenye php kuna function, arrays, variable,statement ,constant,strings,parameter ziko nyingine nyingi ila hizi ni za muhimu sana unabdi uelewe

CSS:

hapa ndo pagumu ila usiogope kila kitu kinawezekana hapa kuna mambo mengi ya kujifunza unabidi uelewe maana ya vitu hivi na kazi zake, padding,margin,float,border, box-seizing,width,hidden, overflow,hover,height, viko vingi saana kwa hiyo hapa unabidi hivi uvielewe vinafanyeje kazi,

Natuamani mpaka hapa utakua ushaanza kupata picha uanzie wapi na uishie wapi na kipi unapswa kujifunza kwenye hizi language

Tutaendeleaa stay calm hapa lazima uelewe.....
Hakika ukiweza kuvisoma hivyo vitu nilivokuhorodheshea hapo lazima uelwe kwa sababu ni vitu muhimu sana kwenye hizo language.
naimani katika safari yangu nitafika
 
Update:
Before hatujaendlea kuna mambo unabidi uyafahamu kwanza jambo la kwanza
(1)Ni lazima uwe na wazo la kitu gani unataka ukifanye hili ni jambo la msingi saaana kwasababu usipokua huna wazo idea ni sawa na mtu anayetembea kwenye giza bila taaa.

2. Kama kweli unataka kuwa developer ni lazima (uwe unaelewa atleast Html5, css na javascript hizi ndo zitakuongoza wewe ujue hizo language nyingine zoote Amini ukifahamu hizi language Vizuri language nyingine kama C#C++ python Php, hazitakusumbua. Tuanze na Javascript
1.Javascript.
Hii ni moja ya languahe muhimu sana unapotaka kujifunza programming hakika hii ndo nguzo ya programming ukiifahamu hii vizuri language nyingine utakua huna haja ya kuzijua kwazi javascript imebeba kila kitu ,jamii forum inatumia js,facebook,instagram, yaani karibu kila app na website nia lazima iwe na javascrip. Sasa kitu gani unapaswa kukifahamu kwenye javascript? vifuatavyo ni vitu ambavyo inabidi uweze kuvifahamu
VARIABLES:
is just a container you can write number, or words
Variable ni kama container ambalo linabeba vitu
variable on number

var number1=50;
number2=60;
console.log(number(number1)+number2);

var string or into word
example(
const product1='maandazi'
price=200;
product 2='afkeki'
price=300;

console.log(product2,price)
console.log(product2,price)

kama unatumia google chrome recomended (creat file kwenye computer yako liite exercises ndani ya hilo file create file liite script.js na index .html alafu file la script.js li link na index. html lukimaliza hapo kwenye index .html copy code ambazo nilishazindika paste then save haya sas fungua index.html kwenye google chrome yako right click utakuta sehemu imeandikwa inspect click itagawanyika mara 2 at the top right utakuta kuna sehemu pameandikwa element, console,source,

wewe fungua sehemu ilokoandikwa console( then hapo kila code utakayoindika kwenye script.js utaiona hapo

kama ujaelewa unaweza kuulizaa
 
WARNING:

KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI.

KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA MTU..HAPA NITAKUELEKEZA TUU CODE ZOOTE AMBAZO UNAPASWA KUJUA ILA REAL PROJECT NITAKUFUNDISHA INBOX AU NITAWEKA NUMBER YANGU YA SIMU BADAE NIWEZE KUFUNDISHA KUPITI WASAPU
 
Nime
WARNING:

KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI.

KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA MTU..HAPA NITAKUELEKEZA TUU CODE ZOOTE AMBAZO UNAPASWA KUJUA ILA REAL PROJECT NITAKUFUNDISHA INBOX AU NITAWEKA NUMBER YANGU YA SIMU BADAE NIWEZE KUFUNDISHA KUPITI WASAPU

Dunia ya sasa kama unafahamu vizuri code hakika utakua umekula bingo ila kuna code za muhimu lazima uzijue hakika ukishazijua utakua
  1. Html5

Html5 ni mark up language ambayo inafanya kazi pamoja na language zote java,php,python,javascript n.k yaani ni hivi n kwenye html nyuma yake kuna js,php, python code ambazo zina command au kuridect wewe pindi ufungapo website,au aplication HTML naweza kusema ni kama body la gari kwa juu ila kuna vifaa ambavo vinaifanya itembee kama engine ,mfano ukichomeka ufunguo gari liwake ,kama hamna mafuta gari lisiwake ndo hvo hvo Html bila javascript haiwezi kwenda sawawa.

2.CSS
CSS ni moja ya aina ya style ya kupendezesha website yako iwe na muonekano mzuri sana hii ni moja ya language maalumu sana ambayo unapaswa kuifahamu kwa maani usipoifahamu hii language hakika hutoweza kupendesha website yako au application yako.

3.javascript
Hii nayo ni moja ya language muhimu sana kama unataka kuwa developer hii ni maarufu kwa back to end front page.

4.Php/mysql/sql
Hii sasa ndo best programming language ambayo inatumika kwenye dyanmic website, na pia inatumika sana kwenye kuunganisha na mysql database ,hakika ukihifahamu hii language vizuri utakuwa umekula bingo na ukitaka uweze kuifahamu hii langauge kiurahisi lazima uwe na msingi wa javascript na htmls maana PhP haina tofauti sana na javascript almost vitu vingi vinafanana.

Programming language zipo nyingi sana ila kwa mimi nakushauri kama unataka kuwa expert wa webdeveloper na mobile application jifunze hizo hapo juu nenda step by step hakika utafanikiwa
programming language nyingine ni kama hizi
1.python
2.c#
3.c++
4.cc++
hii zinatumika sana sana kwenye mobile appliocation c++ na kutengeneza video games

Huu uzi utakua update nitakupa Tips muhimu za Kusoma ili uweze kujua uanzie wapi na uishie wapi nitaanza na Html ni vitu gani vya msingi unapaswa kuvifahamu ni hivi hapa.
1.htmls tags example <div></div>, <span><figure></figure><img> <frame></frame>,<label><input><nav></nav><html></html>,<ol></ol>,<ul> </ul><option></option> zipo nyingi sana ila hizi ni baadhi tuu ambazo nimezihorodhesha hapa
Html tag nini? html tag huanza mwanzo wa code na mwisho unafunga mfano
<div> Mimi napenda sana kujifunza html</div> cha kwanza kabisa ni lazima uelewe hizi tag na zinafanyeje kazi unazisoma kwa umakini mkubwa taratibu huku ukianza taratibu wala usiwe na haraka na kuna kitu kinaitwa <!doctype html> watu wengi najua hawafahamu maana ya hili neno doctype na kwa nini tuzianze tuu na <htm> kesho nitaelezea na Tutaanza kutengeneza website yetu kwa kutumia html na css na javascript
Website yetu tutatengenez kwanza <heading> ambayo itakua na
Navigation menu, slide show na content pamoja na Footer

Mwenye swali lolote kuhusu hizo language hapo juu aulize nitamjibu ipasavyo

Amini kupitia huu uzi utweza kufanya vitu vifuatavyo
1.Tutatengeneza Programm kwa ajili ya Matumizi yako ya mwezi, week, mpaka mwaka,
2.Utaweza kutengeneza database yako ya Dukani kwako, na Pia system ya Ofisini
3.Utaweza kutengeneza website yako nzuri inayohusiana na Mambo ya (kuuza bidha online) na Website kwa ajili ya Mziki,kilimo,n.k stay calm tutaenda hatua kwa Hatua

UPDATE:
Before hatujaanza kutengeneza hizi website,application na database ni lazima tujue vitu muhimu vya kujifunza
kwenye Html,java,javscripts,php, na css

Html

Tutajifunza jinsi ya kuweka picha, kuweka link,kuweka videos, footer,slideshow,navigation bar,table,list,contents, tags nk
Javascript
hapa tutakiwa kujua vitu vifuatavyo
1.promt,alert,variables, strings,boolen,function, array,associated array,protoypes,constructor, object constructor, inherting constructor,

Php
haina tofauti sana na javascript (kwa sababu kwenye php kuna function, arrays, variable,statement ,constant,strings,parameter ziko nyingine nyingi ila hizi ni za muhimu sana unabdi uelewe

CSS:

hapa ndo pagumu ila usiogope kila kitu kinawezekana hapa kuna mambo mengi ya kujifunza unabidi uelewe maana ya vitu hivi na kazi zake, padding,margin,float,border, box-seizing,width,hidden, overflow,hover,height, viko vingi saana kwa hiyo hapa unabidi hivi uvielewe vinafanyeje kazi,

Natuamani mpaka hapa utakua ushaanza kupata picha uanzie wapi na uishie wapi na kipi unapswa kujifunza kwenye hizi language

Tutaendeleaa stay calm hapa lazima uelewe.....
Hakika ukiweza kuvisoma hivyo vitu nilivokuhorodheshea hapo lazima uelwe kwa sababu ni vitu muhimu sana kwenye hizo language.
Nimekuelewa ila nahitaji kujua zaid
 
ninakataa kusema kwamba CSS ndio ngumu sana. ninaweza kusema CSS ninrahisi kuliko hizo Java/Javascript/ Php/C++ . Ki uhalisia CSS is very Interesting na inavutia hata kucheza nayo na hivyo imekuwa ni rahisi kuliko hizo languages zingine ambazo ni very sensitive.

kingine ugumu au urahisi wa lugha inategemea na mindset ya mtu. kama ilivyo darasani mwingine atasema hesabu ngumu na wakati mwingine ndio mserereko wake hapo.
 
Yani hii ni introduction kwa vimwanafunzi vinavyosomaga IT ngazi ya cheti semester ya kwanza.

Kuwa programmer sio rahisi hivyo buda
Acha Dharau na Ushamba, hata hao best programmers walianzia chini kama hivi. Wise UP!
 
Wote wanasema CSS ni ngumu have zero designing skills.
Na I Love the ushauri kuwa asome:
PHP then Javascript - mpaka hapo tu aliyesoma amelewa alaf because haitoshi.
Soma SQL - ok hapo ni from frontend to backend to database
Ok mpaka hapo genius ka survive but no haitoshi ss hivi ije MY favorite Part

From Javascript To C sharp au python - nice umemjazia Mtu semi colon code nzima au ku tumia dictionary za C from js

All in all it's possible but sio in that routine, I don't know how but GOODLUCK
 
Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.

Ila ...

1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related

PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers

Oooiiii nimesoma kama SQL ni domain language ?

1150451
www.geeksforgeeks.org

SQL (pronounced "ess-que-el") stands for Structured Query Language. SQL is used to communicate with a database. According to ANSI (American National Standards Institute), it is the standard language for relational database management system
 
mimi kupitia hizo process hapo nimekua programmer, am developer Php, javascript,html5,css huniambii kitu buda na nimetengeneza project na application kibao
Link ya Github kama unayo? Umewahi kufanya Test Driven Development?
 
Wote wanasema CSS ni ngumu have zero designing skills.
Na I Love the ushauri kuwa asome:
PHP then Javascript - mpaka hapo tu aliyesoma amelewa alaf because haitoshi.
Soma SQL - ok hapo ni from frontend to backend to database
Ok mpaka hapo genius ka survive but no haitoshi ss hivi ije MY favorite Part

From Javascript To C sharp au python - nice umemjazia Mtu semi colon code nzima au ku tumia dictionary za C from js

All in all it's possible but sio in that routine, I don't know how but GOODLUCK
Zero designing skills? Umesahau inabidi ujue mambo ya Responsiveness ndo hapo mambo ya media queries yanakuja, masuala ya CSS Grid na CSS Flex box. Kwa kuandika ni rahisi ili upewe design na UI/UX designer alafu uambiwe ui-code, lazima hapo utaona mziki wake.
 
WARNING:

KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI.

KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA MTU..HAPA NITAKUELEKEZA TUU CODE ZOOTE AMBAZO UNAPASWA KUJUA ILA REAL PROJECT NITAKUFUNDISHA INBOX AU NITAWEKA NUMBER YANGU YA SIMU BADAE NIWEZE KUFUNDISHA KUPITI WASAPU
Ebu acha kupotezea watu muda wao na hii mikwara. Kuna open source projects zaidi ya elfu 10 kwenye Github, Medium na Dev blogs watu wana share projects zao mbali mbali. Tena wale wenye uzoefu zaidi ya miaka zaidi ya 20 na hawana mambo ya kusema watu wanapenda mtelezo. Nani a-copy code zako hizo na atafaidika na nini.. Grow up
 
Again people humu wanapindisha topic to push their narratives. CSS is difficult to most programmers, it can be argued it's the most difficult "programming" language, because it's not one. It doesn't have the typical flow of control, structure, and most things seasoned developers are used to. Things like bootstrap and all these other pre-made styles make it easy but doesn't change the fact that developers are not designers and by virtue of that struggle with CSS. However, it's not mutually exclusive that being a developer means you are bad at CSS.
 
Oooiiii nimesoma kama SQL ni domain language ?

View attachment 1150451
www.geeksforgeeks.org
SQL (pronounced "ess-que-el") stands for Structured Query Language. SQL is used to communicate with a database. According to ANSI (American National Standards Institute), it is the standard language for relational database management system

Being right doesn't mean someone else has to be wrong. We are both right in our view of what SQL is.
 
Yani hii ni introduction kwa vimwanafunzi vinavyosomaga IT ngazi ya cheti semester ya kwanza.

Kuwa programmer sio rahisi hivyo buda
Mwambie kwamba kufahamu coding aka programing language ni kama 30% ya kuwa programmer.Programming ni sanaa na kama zilivyo sanaa nyingine ubunifu ndio primary tool kisha hizo lugha ni kama tools za kazi yaani kama brush na rangi kwa mchoraji ama kama kalamu na karatsi kwa mwandishi.In short unaweza kuwa coder mzuri ila sio programmer mzuri kwa maana ya ubunifu.Ndio maana utakuta programming huwa ni kazi ya team kubwa sana ambapo kila mtu anakuwa na kazi yake ya msingi huku coding ikiwa ni sehemu ya kazi hizo.

Umefanya vizuri kuwapa watu intro ila fahamukuwa programmer sio mtu anayejua lugha nyingi au zote bali ni mtu anayejua nini kifanyike ili kilete matokeo fulani.otherwise KEEP IT UP.
 
ninakataa kusema kwamba CSS ndio ngumu sana. ninaweza kusema CSS ninrahisi kuliko hizo Java/Javascript/ Php/C++ . Ki uhalisia CSS is very Interesting na inavutia hata kucheza nayo na hivyo imekuwa ni rahisi kuliko hizo languages zingine ambazo ni very sensitive.

kingine ugumu au urahisi wa lugha inategemea na mindset ya mtu. kama ilivyo darasani mwingine atasema hesabu ngumu na wakati mwingine ndio mserereko wake hapo.
And the two are completely different, your CSS skills don't translate to Java/Javascript/C++. Most people can be competent coders but horrible at designing, they can hide behind boostrap and all but overall developers are never great designers, and CSS is achillies heel for many. Front-end developers are changing that narrative but most of them are pretty bad at backend or low level development because they are conditioned to frameworks etc. So in the purest form of what it's being a programmer(and without sounding like I'm gatekeeping), CSS is very hard to many.
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom