Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
750
WARNING:

KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI.


KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA MTU..HAPA NITAKUELEKEZA TUU CODE ZOOTE AMBAZO UNAPASWA KUJUA ILA REAL PROJECT NITAKUFUNDISHA INBOX AU NITAWEKA NUMBER YANGU YA SIMU BADAE NIWEZE KUFUNDISHA KUPITI WASAPU




Dunia ya sasa kama unafahamu vizuri code hakika utakua umekula bingo ila kuna code za muhimu lazima uzijue hakika ukishazijua utakua
  1. Html5

Html5 ni mark up language ambayo inafanya kazi pamoja na language zote java,php,python,javascript n.k yaani ni hivi n kwenye html nyuma yake kuna js,php, python code ambazo zina command au kuridect wewe pindi ufungapo website,au aplication HTML naweza kusema ni kama body la gari kwa juu ila kuna vifaa ambavo vinaifanya itembee kama engine ,mfano ukichomeka ufunguo gari liwake ,kama hamna mafuta gari lisiwake ndo hvo hvo Html bila javascript haiwezi kwenda sawawa.

2.CSS
CSS ni moja ya aina ya style ya kupendezesha website yako iwe na muonekano mzuri sana hii ni moja ya language maalumu sana ambayo unapaswa kuifahamu kwa maani usipoifahamu hii language hakika hutoweza kupendesha website yako au application yako.

3.javascript
Hii nayo ni moja ya language muhimu sana kama unataka kuwa developer hii ni maarufu kwa back to end front page.


4.Php/mysql/sql
Hii sasa ndo best programming language ambayo inatumika kwenye dyanmic website, na pia inatumika sana kwenye kuunganisha na mysql database ,hakika ukihifahamu hii language vizuri utakuwa umekula bingo na ukitaka uweze kuifahamu hii langauge kiurahisi lazima uwe na msingi wa javascript na htmls maana PhP haina tofauti sana na javascript almost vitu vingi vinafanana.


Programming language zipo nyingi sana ila kwa mimi nakushauri kama unataka kuwa expert wa webdeveloper na mobile application jifunze hizo hapo juu nenda step by step hakika utafanikiwa
programming language nyingine ni kama hizi
1.python
2.c#
3.c++
4.cc++
hii zinatumika sana sana kwenye mobile appliocation c++ na kutengeneza video games

Huu uzi utakua update nitakupa Tips muhimu za Kusoma ili uweze kujua uanzie wapi na uishie wapi nitaanza na Html ni vitu gani vya msingi unapaswa kuvifahamu ni hivi hapa.
1.htmls tags example <div></div>, <span><figure></figure><img> <frame></frame>,<label><input><nav></nav><html></html>,<ol></ol>,<ul> </ul><option></option> zipo nyingi sana ila hizi ni baadhi tuu ambazo nimezihorodhesha hapa
Html tag nini? html tag huanza mwanzo wa code na mwisho unafunga mfano
<div> Mimi napenda sana kujifunza html</div> cha kwanza kabisa ni lazima uelewe hizi tag na zinafanyeje kazi unazisoma kwa umakini mkubwa taratibu huku ukianza taratibu wala usiwe na haraka na kuna kitu kinaitwa <!doctype html> watu wengi najua hawafahamu maana ya hili neno doctype na kwa nini tuzianze tuu na <htm> kesho nitaelezea na Tutaanza kutengeneza website yetu kwa kutumia html na css na javascript
Website yetu tutatengenez kwanza <heading> ambayo itakua na
Navigation menu, slide show na content pamoja na Footer


Mwenye swali lolote kuhusu hizo language hapo juu aulize nitamjibu ipasavyo


Amini kupitia huu uzi utweza kufanya vitu vifuatavyo
1.Tutatengeneza Programm kwa ajili ya Matumizi yako ya mwezi, week, mpaka mwaka,
2.Utaweza kutengeneza database yako ya Dukani kwako, na Pia system ya Ofisini
3.Utaweza kutengeneza website yako nzuri inayohusiana na Mambo ya (kuuza bidha online) na Website kwa ajili ya Mziki,kilimo,n.k stay calm tutaenda hatua kwa Hatua


UPDATE:
Before hatujaanza kutengeneza hizi website,application na database ni lazima tujue vitu muhimu vya kujifunza
kwenye Html,java,javscripts,php, na css

Html

Tutajifunza jinsi ya kuweka picha, kuweka link,kuweka videos, footer,slideshow,navigation bar,table,list,contents, tags nk
Javascript
hapa tutakiwa kujua vitu vifuatavyo
1.promt,alert,variables, strings,boolen,function, array,associated array,protoypes,constructor, object constructor, inherting constructor,

Php
haina tofauti sana na javascript (kwa sababu kwenye php kuna function, arrays, variable,statement ,constant,strings,parameter ziko nyingine nyingi ila hizi ni za muhimu sana unabdi uelewe

CSS:

hapa ndo pagumu ila usiogope kila kitu kinawezekana hapa kuna mambo mengi ya kujifunza unabidi uelewe maana ya vitu hivi na kazi zake, padding,margin,float,border, box-seizing,width,hidden, overflow,hover,height, viko vingi saana kwa hiyo hapa unabidi hivi uvielewe vinafanyeje kazi,

Natuamani mpaka hapa utakua ushaanza kupata picha uanzie wapi na uishie wapi na kipi unapswa kujifunza kwenye hizi language

Tutaendeleaa stay calm hapa lazima uelewe.....
Hakika ukiweza kuvisoma hivyo vitu nilivokuhorodheshea hapo lazima uelwe kwa sababu ni vitu muhimu sana kwenye hizo language.
 
Asante sana kwa maelezo yako mazuri. Kwa ufahamu wangu umeandika kwa ujumla sana. Mimi ningeshauri kama unataka kuwashauri beginners ungeanza kuelezea Markup language kwa sababu HTML siyo programming language.
 
Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.

Ila ...

1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related


PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers
 
Kabisa mkuu
Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.

Ila ...

1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related


PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers
 
Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.

Ila ...

1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related


PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers
yeah off coz css ni ngumu mimi kwa mara ya kwanza ilnusumbua saana
 
Mkuu hizi wala hata hazina udugu
Java and Java script kila mmoja huwa yupo kivyake anyway twende tu mkuu.
 
Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
 
Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
Mkuu napenda sana kuwa mtalaamu wa haya programming language.
Naomba msaada wako mkuu.Hatua kwa hatua.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom