Je, unapenda kuwa wakala na fundi wa zuku pay tv?

Sanctus Mtsimbe

Verified Member
Jul 14, 2008
1,824
2,000
a47d8fe1-ea60-460d-9d55-eb47811c13e5.jpg

Wasiliana nasi kwa Maelekezo zaidi.
 

Sanctus Mtsimbe

Verified Member
Jul 14, 2008
1,824
2,000
Moja sh.ngapi???

Come inbox 0782 820 820

But when you sell you will make 42% Margins. Means ukiuza utapata faida ya karibia 42%.

Bado mbali na hilo kila ukiuza unapewa na Commission fixed in Dollar payable in TZS.

Na bado Mteja akiunganishwa kwa huduma ya Zuku unapewa commission nyingine tena.

Kama wewe ni fundi unaweza pia kumtoza mteja wako gharama za Installation.

Na bado utapewa support Sales Materials kama Tshirt;Cap; Vipeperushi nk nk
 

hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
3,168
2,000
Nani afunge dekoda ya zuku?
Sasa jichanganye uchukue izo dekoda Kama hazikupata kutu na mchwa dukani
 

Sanctus Mtsimbe

Verified Member
Jul 14, 2008
1,824
2,000
Nani afunge dekoda ya zuku?
Sasa jichanganye uchukue izo dekoda Kama hazikupata kutu na mchwa dukani

Karibu tukusaidie changamoto ni nini? Kama ni Local Channels baadhi zinapatikana na tuna imani muda si mtefu zote zitarudi.

Kama ni ubora wa matangazo hatuna shida. Labda tukusikie shida yako iko wapi tukusaidie
 

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,398
2,000
Kwa sasa Azam amewapiga gepu kubwa sana.. Analitawala sana soko la ving'amuzi. Anafata DSTV na Star Times..

Zuku mmepotezwa. Angalieni wenzenu wamewashinda wapi.
 

mkwangha

Member
Sep 27, 2014
40
125
Tatizo lenu
Kawaida local Chanel Ni bure ila nyie kufurushi kikiisha tu Basi local Chanel zote zinakata.
Mnabakisha Yale ya ajabu huwezi hata angalia habari.
Nimekidamp hicho kin'gamuzi
Huko.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,939
2,000
Tatizo lenu
Kawaida local Chanel Ni bure ila nyie kufurushi kikiisha tu Basi local Chanel zote zinakata.
Mnabakisha Yale ya ajabu huwezi hata angalia habari.
Nimekidamp hicho kin'gamuzi
Huko.

Local Channels ni ngapi zinazopatikana?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom