Je unapenda forum ipi zaidi JF?

merchant97

Member
Oct 2, 2017
45
20
Jf kuna forum nyingi zikihusisha vitu mbalimbali km burudani,siasa,ujasiriamali nk
Kwa upande wangu naipenda sana forum ya Ujasiriamali coz nahis naendana nayo na ndio forum inayonipa vyote
Je kwa upande wako unaipenda forum gan? Na kwanini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom