Je, unanunua nini kwenye magazeti?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ningependa tu kuuliza je unaponunua gazeti lolote mfano mwananchi, Raia mwema, citizen na Nk.

Je, unachonunua na zile karatasi au habari zilizomo?

Kwa sababu gazeti moja unakuta lina page mpaka 10,
Sawa sawa na makaratasi 5,ambayo kwa gharama ni sawa na bei ya gazeti unalonunua.

Je, wachapishaji wa magazeti ni kwamba wao wananunua makaratasi kwa jumla, wanatafuta habari wanaandika wanageuza jina na kuita gazeti,

Halafu wanakuja kuutuzia kwa bei ya reja reja kwa kisingizio cha zile habari walizoandika au wanatuuzia habari lakini makaratasi tunapewa bure?

Wakuu majibu yenu tafadhari.


Cc Zero IQ
 

Gazeti kifungashio tu gengeni baada ya kusoma habari, pia hutumika kama rejea kwenye kesi na tafiti, tuendelee kununa na kusoma magazeti
 
Wanaoandika article moja kwenye hilo gazeti na kulipwa laki tano wanacomment kwenye huu uzi au ?
 
Na pia magazeti yale ya kiarabu na kihindi tunayofungiwa mandazi na vitu vya dukani vinaletwa nchini kwa ajili ya kufungia mandazi ?
 
Ningependa tu kuuliza je unaponunua gazeti lolote mfano mwananchi, Raia mwema, citizen na Nk.

Je unachonunua na zile karatasi au habari zilizomo?

Kwa sababu gazeti moja unakuta lina page mpaka 10,
Sawa sawa na makaratasi 5,ambayo kwa gharama ni sawa na bei ya gazeti unalonunua.


Je wachapishaji wa magazeti ni kwamba wao wananunua makaratasi kwa jumla, wanatafuta habari wanaandika wanageuza jina na kuita gazeti,

Alafu wanakuja kuutuzia kwa bei ya reja reja kwa kisingizio cha zile habari walizoandika au wanatuuzia habari lakini makaratasi tunapewa bure?

Wakuu majibu yenu tafadhari.


Cc Zero IQ

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Nanubua karatas
 
Back
Top Bottom