Je, unanuka kikwapa, sehemu za siri na korodan?

Unajua maumivu yake ukijikata ngozi ya pumb.u alafu upitishe limao? We kajarubuni muone
 
kama papuchi ya mwanamke haitoi harufu hua siizimii sana hivyo wapo tunao penda harufu ya k*
 
kama papuchi ya mwanamke haitoi harufu hua siizimii sana hivyo wapo tunao penda harufu ya k*
hivi unajua harufu wewe? smell/odor/scen
hujakutana na stinking p*sy
 
Unajua maumivu yake ukijikata ngozi ya pumb.u alafu upitishe limao? We kajarubuni muone
Daaah nimekumbuka kunakipindi Nilikua na fangasi sasa, nikatumia dawa fresh siku naenda kuoga ma sabuni ya magadi daaah.. Yale maumivu sijawahi yapata yangu nimezaliwa aisee
 
Daaah nimekumbuka kunakipindi Nilikua na fangasi sasa, nikatumia dawa fresh siku naenda kuoga ma sabuni ya magadi daaah.. Yale maumivu sijawahi yapata yangu nimezaliwa aisee
Unafangasi unaogea sabuni ya magad
 
Chunusi WAP mkuu unazo, na uko WAP nenda kwa maduk ya dawa za asil katafute dawa inaitwa fresh. Utarud hapa na mrejesho mkuu
Mkuu ninatokewa nachunusi usoni, mgongoni namikononi kwajuu sio nyingi sanaaa ila kinachonikera zinaniachia madoa sana
 
Mkuu ninatokewa nachunusi usoni, mgongoni namikononi kwajuu sio nyingi sanaaa ila kinachonikera zinaniachia madoa sana
Pia hiyo dawa inasaidia kabisa,, ni ya kunywa cku 21,,, itafute mkuu dawa haizid efkum
 
dah cc tunaoishi ushwahilini vyoo na bafu vipo pamoja na kuna foleni ya hatari ukiingia na ukoko bafuni lazma utangaziwe mwanga unamroga mwenye nyumba asahau kukudai..ukoko una harufu ukitoka bafuni lazma tuu utaitwa mwanaume mashine, yaani jamaa katoka choono/bafuni kunanukia mahindi
 
shabu tena, sa kwa wanaume c mbupu zitakakamaa?
Tunazungumzia makwapa au mada inasemaje??

shabu matumizi yake ni kusafisha harufu mbaya ya kwapa na kutakatisha maji.

Hao wanaotumia vice versa ndio maana yanawakuta ya kuwakuta.
 
Back
Top Bottom