Je, unamjua Ibrahim Shaaban? Amefariki kwa ajali

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,406
903
Habari za Leo,

Kuna Bwana anaitwa Ibrahim Shaaban amepata ajali ya bodaboda Dodoma siku nne zilizopita.

Yeye alikuwa ni abiria ni kijana tu hivi, yeye na Dereva wa bodaboda wamefariki. Maiti yake iko motuary Dodoma.

Tafadhali sambaza taarifa hizi na Mola Muumba atakulipa.
 
RIP, dah hizi ajali za bodaboda zitakuja kuisha lini wandugu mana hali si shwari kabisa.
 
Hukubahatisha hata kapicha ili tuweze kumtambua kwa urahisi mkuu,Rip ibra,Mwenyezi Mungu ni mjuvi kuliko matamanio yetu,upumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom