Je unamiliki mali zaidi ya kipato chako?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Kama una miliki mali zaidi ya kipato chako, ukiulizwa sema hapa Bongo tunaishi kimjini mjini, tunaazima kila kitu kutoka kwa washikaji. Majumba, magari, mashamba, masheli na vitega uchumi vyote nilivyo navyo ni vya kuazima.
 
Hizi ni njama za Chama cha Magamba kuhalalisha wizi na dhuluma ya mali ya umma.
Juzi KIA twiga wametoroshwa, JK kakaa kimya, hajamuwajibisha yeyote, huo no mradi wake, kama Mwinyi alivyouza Loliondo.
 
suiju tutaishia wapi wabongo. tunaelekea kizani na kuzimu combined
 
Kama una miliki mali zaidi ya kipato chako, ukiulizwa sema hapa Bongo tunaishi kimjini mjini, tunaazima kila kitu kutoka kwa washikaji. Majumba, magari, mashamba, masheli na vitega uchumi vyote nilivyo navyo ni vya kuazima.

Eeeh! Na ukiona watu wanakusemasema sivo ndivyo we sema unasingiziwa tu,na udai kuombwa msamaha ndani ya siku 7,kabla hujaenda kuwaadabisha kisutu!
 
Kama tungekuwa tunafuata utawala wa sheria basi tungesikia TRA, TAKUKURU na CID wamemhoji RIZ1 lakini kwa utamaduni wa kwetu yeye ni shujaa anajua kuzitafuta.
 
Back
Top Bottom