Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

ha ha ha..kama nimemkumbusha hilo it is totally different

mimi sikumchoropoa ila nilibaki na imani ya kuoana mabikra huku nyuma wajanja wakambandua na kusababisha arest in peace kama sio pieces!!!!

So hukuwa sababisho la mimba kumbe!!!
Pole sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
asante sana...sikuwa sababisho hata...niiporudi home baada ya mwaka ndo nikakuta majanga hayo....mpaka wa leo mamake huwa akiniona analia...na ni miaka mingi sana imepita

Si umesema she died? Mbona unasema akikuona analia?
 
mamake ndo huwa analia...unanitisha atoto!!! neno mamake linasomeka vizuri kwenye post, nina mashaka hako kaglass ka wine ulikoanza nako weekend kana ujazo wa maana!!! (joking)
 
Last edited by a moderator:
Kasema mamake

Oooooh, okey gutchu

mamake ndo huwa analia...unanitisha atoto!!! neno mamake linasomeka vizuri kwenye post, nina mashaka hako kaglass ka wine ulikoanza nako weekend kana ujazo wa maana!!! (joking)

Hahahaaaa!! Sikusoma vzr mkuu, mie situmii kilevi cha aina yoyote mkuu ni kutokuwa makini tu.
 
Last edited by a moderator:
asante sana...sikuwa sababisho hata...niiporudi home baada ya mwaka ndo nikakuta majanga hayo....mpaka wa leo mamake huwa akiniona analia...na ni miaka mingi sana imepita

umenifanya nikumbuke mbali sana na kuingiwa na simanzi. nilimpoteza rafiki yangu kipenzi tukiwa form 3 kwa kisa kama hiki. Mama yake alikuwa akiniona analia sana na kuniambia nisimuache, hivyo nikawa naenda kwake mara kwa mara kumfariji. Baadae nikaja kujua kuwa yeye ndo alimpeleka mwanae hospitali kutoa ile mimba. Nilimchukia na nikakata mguu. Mume wake nae akaja kujua, ndoa ikasambaratika.
 
duh mkuu...naona visa vya maisha ni copy and paste!!! hata wa kwangu mamake ndo alimpeleka kwa doctor kuabort!!!! tatizo alikuwa ndiye kipenzi cha mamake kupita kiasi....na najua kilio chake ndani yake anajihukumu kuwa alisababisha kifo cha mwanae
 
yule mama angekuwa hai ningesema ndo huyo ila naye alikufa miaka minne baadae kutokana na stress na sononi.
 
I see maskini...I hope kama angeendelea kuishi na hatimaye Mungu akamsamehe na akapata amani ya moyo..mi mamkwe bado anadunda with her guilty conscience ....

You know, we sin and hope out of God's abundant mercy He may find it fitting to forgive us
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom