Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Tulikutana mtoni, hakuna wimbo zaidi ya kelele za maji
Nilitaka kuuliza same same!! Watu wana yutong afu unauliza ambiguous questions kiasi hicho!!
Me alikosea namba ndo nkakomaa nae hadi leo
Nilimtapikia club baada ya kunywa kinywaji cha ajabu, hakukasirika akanipa tissue nikajifuta. Tukatoka nje kupunga upepo, tukaongea sana. Akaenda kulala kwangu usiku huo. Kuanzia hapo akawa mpenzi wangu, tumefunga ndoa na tuna watoto wawili
We grew up together majirani..yeye akiishi kwenye nyumba za mameneja wa RTC sisi tukiishi kwenye nyumba za staff wa TANESCO...Tulisoma primary moja ingawa nilikuwa mbele kwa madarasa mawili..then akanikuta secondary ile ile....by the time nipo form two na yeye anamaliza la saba we had come to realize that I was her boy and she was my gal and our relatives quietly approved ukaribu wetu
About nyimbo ni kuwa tulianza kushare counterbook la nyimbo tulizoandika wenyewe thru listening to walkmans...our favourities were Unconditional Love, Sacrifice, We Dont Need Another Hero, Have You Seen Her, She Works Hard For the Money, Whats love got to do...na nyinginezo
When I turned to reggae music nilimuachia counter hilo
All along we didnt do more than kissing as we made a resolution to marry still virgins!!!Talk about marriage made in heaven
When I left my home town to join form five I left her there and we kept in constant touch
When I went home on leave after the second term she was dead!!! guess what?? abortion gone wrong
Now I can fill 2 Youtongs but that is the one I really remember and I still love her
Sasa mbona tutaorodhesha sehemu zote za hii nchi?? Ungeturahisishia tu mpz yupi unayetaka ujue, au bora swali lingekuwa mke/mume au first love.