Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
3,822
2,000
Asante. Ilinifunza sana. Mama alikuwa kila siku akikonda, bahati mbaya sana mama yangu alikuwa ni mpole sana, na mtiifu kupita kiasi. Nikaja jua kuwa ni mzee ndiye chanzo baada ya kuwa mtu mzima. Nilizoea kuwaambia wadogo zangu, mkiolewa msiwe kama mam, kuweni na heshima kwa waume zenu ila msiwe watumwa. All in all, namshukuru pia sababu kila kitu nilichofanikiwa maishani mwangu, msingi ni wake.
Akina mama wengi wanapitia manyanyaso ya aina nyingi sema hua wanavumilia for the sake of their children.
Yees muhimu ni kushukuru kwa yote na kujitahidi kutorithi yale ambayo wazazi wetu walifeli ili yasijirudie kwenye familia zetu tutakazotengeneza/tunazotengeneza
 

Msemaji_

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
436
500
Nakumbuka mimi nikiwa form one na mdogo wangu grade 2 tumeshuka kwenye school bus tunatembea kuelekea nyumbani. Ghafla njiani akatokea mkaka jirani yetu akaanza niambia kwanini unanikataa huku ananipiga akinituhumu najisikia sababu sisi tunapelekwa shule na gari.

Mdogo wangu akakimbia hadi nyumbani kumwambia baba na mimi nilifanikiwa kumchomoka yule kijana nikakimbilia nyumbani kufika nalia baba akinichukua hadi nyumbani kwao yule kijana, ile tunaingia tu na yule kijana kafika kwao aiseeeeee alipigwa makofi na mshua nikajua yameisha tunaenda nyumbani.

Mara baba akasema tunaenda polisi kufika polisi nikaandika maelekezo na hivi nilikua underage ikachukuliwa defender pale kuja kumkamata yule kijana yeye alikua mkubwa tukaenda polisi alichapwa fimbo na polisi jamani baadae wakanipa fimbo na mimi nijirudishie hehehehe. Tangu siku ile hakuna kijana mtaani kwetu alitusogelea kuongea ujinga.

Nakupenda sana baba Mungu akupe maisha marefu.
Ndio maana mpka leo hujaolewa
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,460
2,000
Mwenyezi Mungu azidi kunitunzia Wazazi wangu wawili, nawaonea sana wivu kwa jinsi walivyoweza kudumu kwenye Ndoa yao tokea mimi HARUFU sijazaliwa hadi kufikia hii leo, hivi sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom