Je unajua wengi wetu pamoja na Mawaziri ,wabunge tumesoma shule kama hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unajua wengi wetu pamoja na Mawaziri ,wabunge tumesoma shule kama hii.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NYENJENKURU, Apr 27, 2011.

 1. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hii ndo shule Watanzania tumesoma na bado zipo sana Tanzania.Je tutafika katika karne hii ya sayansi na technolojia?
   

  Attached Files:

 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Mbona imejengwa kwa Matofali na ina madawati? Shule nilosoma haina madawati na haikujengwa kwa matofali. Hii ina anasa.
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,724
  Trophy Points: 280
  Kuna nyingine hata jengo hazina... Kuna moja ipo mkuranga ilionyeshwa juzi na TBC1 yaani watoto wapo chini ya mwembe.......na ikinyesha mvua shule inafungwa.........akidondoka nyoka ni msikemshike
   
 4. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sibora hata hiyo mbayo ina madawati! ziko shule jina kaka.
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mbona hii ni supa kabisa mpendwa?

  Tanzania hii iliyoadhimisha miaka 47 ya uhuru juzi unaijua vizuri??

  [​IMG]
   
 6. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shule ya Msingi Sumaye, Kijiji cha Mvuleni Kata ya Mabogini ina darasa moja! Jiulize hayo mengine yakowapi!
   
 7. B

  Baba Jose Senior Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shule nzuri kabisa hio watu tumekaa chini, au kama kuna dawati basi jua uana andikia kwenye goti acha bwana,
   
Loading...