Je Unajua Vipimo Vya Pombe Za Kienyeji Kama Konyagi Mwitu,Kimpumu au Mbege?

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Da nimekumbuka ukiwa Mwanza/Mara na Shinyanga ukauliza kipimo cha Konyagi mwitu [Gongo] utaambiwa vipi unatak pegi, mzinga, fanta, au Kibombombonya, ukiwa moshi utaambiwa unataka Kitochi.Au ukiwa moshi ukataka Mbege utaulizwa tukupe Buri!!!

Je kwenu vipimo vya konyagi mwitu,kimpumu,ulanzi,kangara, dengerua na zinginezo vinaitwaje tujuzane!!!
 
Iringa Komon/Ulanzi- Kilita, au kisadolin (4Lts)

Jamaa mmoja alikwenda baa akaagiza "lete chapati tatu" waiter akamletea bia moja. Walevi wengine wakabaki wameshangaa, inakuwaje mtu anaagiza chapati baa halafu analetewa bia, jamaa akasema, "mnashangaa nini? hamjui kama bia moja sawa na chapati tatu (contents)?"
 
Back
Top Bottom