Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 748
Nitatafuta.Mkuu mambo mengine tafuta ww pia.
Nitatafuta.Mkuu mambo mengine tafuta ww pia.
Sawa nimekuelewa vema.Mkuu Sheria ya Ndoa imeainisha haki mbalimbali za wanandoa. Kimsingi mke ana haki sawa na mwanaume katika ndoa.Baadhi ya haki zilizoainishwa ni pamoja na; Haki sawa kwa mwanamke katika kupata, kumiliki na kugawa mali yake...
Je sheria inasemaje pale ambapo mwanandoa mmoja anapochangia kiasi kikubwa katika mali iliyopatikana ndani ya ndoa?Pia sheria ya ndoa inaruhusu mke au mume kumiliki mali zake binafsi. Ina Maana kwamba ndoa haiondoi umilikaji wa mali binafsi kwa mwanandoa, kama mke au mume alikuwa na mali fulani kabla ya ndoa mali hiyo inabaki kuwa yake peke yake hata baada ya ndoa. Mali zinazopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili hizo huwa ni mali za pamoja na zinamilikiwa na wanandoa wote wawili.
Sawa.Usibanie sasa hicho kipochi manyoya
Pole ya nini sasa🤣Jael pole sana 😝 😝 😝