kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,163
- 2,223
kwa wale waliokwisha fahamu au kusikia kuhusu pesa ya kimtandao kama BTC, Ethreum, Capverto token, BZX, AZAM nakadhalika amewahi kusikia kitu kinaitwa uchimbaji wa pesa.
Unajua maana halisi ya uchimbaji wa pesa hiyo?
Ni kwamba hiyo pesa haiko centralized ikiwa na maana kwamba hakuna chombo wala mtu anaye imonitor ndiyo maana inaitwa trustless. na mfumo wake umetapakaa kwenye computer za watumiaji hakuna centre inayomiliki mfumo wa pesa hiyo.
Sasa malipo unayopata kama commision ya nguvu za computer yako kuchangia katika kuhifadhi na kuendesha mfumo wa crypto currency ndiyo hayo malipo ya uchimbaji bitcoin.
Ukiwa na computer yenye nguvu zaidi utapata malipo zaidi kuliko mwenye computer ndogo.
lakini ukweli ni kwamba huu mfumo unavyozidi kukua na baadhi ya watu kuwa na tokens zaidi ya wengine wanaanza kuwa na maamuzi juu ya mfumo na nini kifanyike kwa hiyo unaanza kuwa centralized japo siyo sana.
kuna token moja inaitwa CAPVERTO token yenyewe ittatoa mpaka prepaid cards mtu ataweza kutoa pesa kwenye atm mashines yani automatically cryptocurrency inakuwa converted to fiat money.
Kwa wale wanaopenda biashara halali yenye misingi ya Islamic banking ipo Azam token hii kila token ina backup ya gold kama ambavyo banking system ya Quran inahitaji. Na huwezi itumia kucheza kamari wala kulipia huduma kama pombe ila unaweza ibadirisha kwenda kwenye other tokens kama BTC na Ehtreum.
blockchain is really interesting na ni bonge la invention.