Je unajua kwamba "rock-n-roll" ilianzishwa na mwanamke mweusi?

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,768
19,301
Yes. A Sista..Aliitwa Rosetta Tharpe. She came before; Little Richard, Johnny Cash,Chuck Berry, Jerry Lee Lewis, Muddy Waters, Elvis Presley and the rest... In fact, wote walimpa credit zake , na walisema ukweli kwamba Rosetta ndio influence ya mafanikio yao(except for Elvis). Elvis Presley hakusema ukweli, lakini ukisikiliza first songs wakati anaanza muziki utasikia muziki wa Rosseta Tharpe in it. Ukiangalia Hall Of Fame, full of white artists, lakini ukweli unafichwa hadharani Rock is Black culture.

I love the history bit as well. Did you know that the term " Rock 'n Roll" , is old Black American slang for having sex. Long live Rock 'n Roll.

Elvis Presley mwanzoni kabisa alifanya style yake kwa kuiga kutoka kwa Rosetta Tharpe na wanamuziki wengine weusi kama Mama Thornton (sikiliza vizuri wimbo wake wa hound dog - talking about her man). Early rock and roll ilijulikana kwa majina kama Nigga Music au Devil music , wavulana na wasichana wa kizungu waliupenda aina hii ya muziki na wakawa wanausikiliza kwa kukiuka matakwa ya jamii yao (rebelling from their moms and dads) mpaka Elvis alipoufanya uwe relevant to white america.

Hii video hapa, ni documentary inayoelezea kuhusu Sister Rosetta Tharpe

 
How wonderful she was! RIP Sister Rosetta Tharpe (March 20, 1915 – October 9, 1973). She was a singer, a songwriter, a guitarist and a recording artist. A pioneer of twentieth-century music. "The godmother of rock and roll".

Sikiliza kazi hiyo:

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom