Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
140
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

Unamaanisha nini kwa mwanaume kuwa mweupe? Unamaanisha wazungu au?
 
Waarabu, wazungu, wahindi, na baadhi waafrika?
Sidhani kama kuna ukweli hapo
Mwanaume ni mwanaume na kimuumizacho binti ni kuona anakaribia au amekikosa kifaa kimpacho raha
Ila siyo rangi
 
Sio wazungu ati ni hawahawa wezetu weupe.asiyeamini akafanye uchunguzi ,majibu msiache kunipa
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

FL, umeshawahi kuumizwa na mwanaume mweupe dia?
 
Katika siku ulizoongea point ni leo, hawa achana nao kabisa yaani utakunywa sumu. Ndo maana mie nilitafuta infiiiiiiii mweusi, wanaume weupe hawafai hata kidogo
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

Mazeruzeru??
 
Wanajua kuwa mabinti weusi wanawapapatikia kwa kutaka kuzaa chotara
 
kweli DA hao wepe ni presha.huwez kuwa na wakwako peke yako sijui huwa wanajiona kuw wao ndo wazuri au wanajua mambo flani!ila me nawaona wa kawaida tu
 
MX ndo maana wengi hishia kuumizwa roho.halafu hawa wanaume weupe ni kama wamechanjiwa yaani hawapendi kula pipi na ganda.mafataki,vihatarishi...........yaani wengi utawakuta hapa.
 
Huwa wanajiona kama wazungu, waarabu, wachina, nk mie hata uje na kitu gani mwanaume mweupe kwangu mwiko
 
Hii ndo naisikia leo!...
Sasa sijui shemeji utaniambia nini kwa nchi za weupe watupu eg Ulaya!
Au wenyewe kwao tatizo hili halipo, liko na sisi tu waafrika!!
 
Nna jamaa yangu Black mwisho wa matatizo..'asa kwa reference yako angekuwa mweupe sijui ingekuaje?
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

Vp mama umejeruhiwa nini? Kabla hatujaanza kudadavua
 
MX ndo maana wengi hishia kuumizwa roho.halafu hawa wanaume weupe ni kama wamechanjiwa yaani hawapendi kula pipi na ganda.mafataki,vihatarishi...........yaani wengi utawakuta hapa.

FL nisome kati ya mistari au nisome kawaida na macho yangu ya nyama..
 
Back
Top Bottom