Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

Jamani swala la mapenzi ni nyeti sana na kila mtu ana uzoefu wake hakuna formula hapa,Tabia ya mtu haiendani na Rangi,Dini au Kabila ni vizuri tukawa makini na kumjaji mtu mwenyewe binafsi na sio kwa mwonekano wake.Utawasema weupe kesho utatendwa na weusi utasemaje tena..
 
Kamanda umeona hii kitu sio....
:confused2:....hakuna dawa ya kichina au kihindi ya kugeuza rangi ya ngoz iwe nyeusi?
Si ndo hapo naona F.lady anatuharibia soko!! Ngoja nitafute mafuta ya bunduki bana!!
Hivi akiwa mweupe halafu mfupi inakweje?
ha ha ha ha hiyo mixer yake nomaa!!
 
mbona kule ghana, nigeria, guinea, ivory coast etc kuna midume myeusi tiii na mabinti wanadanganywa kama kawaida. ANGALIZO: wanaume wote mzazi wao ni mmoja so ukisikia Paaa......

Hapa swala ni kwamba wanaume wakibongo. Huko ulikotaja kwa uongo na utapeli ndo kwao usilinganishe na bongo
 
Hivi hii concept ya kusema mwanaume mweupe ndo handsome ilitokea wapi?sioni uwiano kabisa!!!!

Ndio shida inapoanzia hapo eti mweupe ndo handsome hakuna kitu bwana kwa wanakuwa hawana nanihino kwenye majambozi
 
Hivi hii concept ya kusema mwanaume mweupe ndo handsome ilitokea wapi?sioni uwiano kabisa!!!!

Alafu usiombee uende na mtu mweupe kwa demu wako mm niliporwa demu hivi hivi nilienda na jamaa ana rangi ya uzungu pori demu akamzimia jamaa na akawa anaonyesha dalili zote ikabidi nimwachie
 
Alafu usiombee uende na mtu mweupe kwa demu wako mm niliporwa demu hivi hivi nilienda na jamaa ana rangi ya uzungu pori demu akamzimia jamaa na akawa anaonyesha dalili zote ikabidi nimwachie

Kwani wewe ni mweusi?? Pole kwa kuachwa aisee huyo msichana hajawahi kukutafuta tena?? Weupe hawana la****
 
Kwani wewe ni mweusi?? Pole kwa kuachwa aisee huyo msichana hajawahi kukutafuta tena?? Weupe hawana la****

Jamaa alivyo mega tu akammwaga alivyo ona kaachwa akawa ananinyemelea mm tena mm nilimfungia vioo
 
Ufupi uleule aliousema FL kuwa ni wazuri, wanajua mapenzi, they are caring, and sharing(?)...wanajua kuhonga...ufupi huo

Ufupi aliozungumzia FL ni upi aisee..... :doh: kama wa TA?
 
Alafu usiombee uende na mtu mweupe kwa demu wako mm niliporwa demu hivi hivi nilienda na jamaa ana rangi ya uzungu pori demu akamzimia jamaa na akawa anaonyesha dalili zote ikabidi nimwachie
duh yule uliyekuwa unampakia kwenye tukutuku kule Buguruni?
 
Back
Top Bottom