Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

Duh!!...kuna group la damu hapo umetaja tabia zangu zote bila kuacha hata chembe na nipo kwenye hilo group!!
 
Kwanini article zetu hazipo kitaalam zaidi?
Haya mambo yanahitaji research na lazima iwekwe wazi how was conducted until you reached that conclusion.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom