Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,119
Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani.

Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani.

Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki.

Je, unajua kwanini kirusi hiki kinapewa kipaumbele kuliko njaa inayoua watu wengi zaidi kuliko magonjwa yote duniani Dunia ina siri kubwa sana .
 
Kabisa mkuu, tumbo mambo yote.Corona imeanza na kuwa tishio zaidi kwa walioshiba.Haki na usawa labda huko peponi.
 
Kazi kwelikweli
tapatalk_1614317823528.jpg
 
Back
Top Bottom