Je, unajua kuwa Gemu kibao zinatolewa bure kipindi hiki?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,493
2,247
Kwa wasiojua hili, kampuni kubwa za PC gemu zinekuwa zilitoa gemu zao kwa bure kipindi hiki, but sio zote.

Kwa sasa GTA V ni bure kutoka kwa Epic. Nimeshapata Just Cause 4, Assassins Creed na zengine. So install launchers za epic, steam na cheki cheki gaming twitter or site utaona kila siku kuna game za bure.
 
Yaah, hata tomb raider 2013 pia ni free kwa sasa.

Mengi pia yapo kwenye punguzo kubwa. Unayapata chini ya usd 10.
 
MODS mnakera na kubadili title za post kusema ukweli, kunatakiwa kuwe na notice angalau kuwa mmebadili.
 
Nina Pc hp core i5 Ram 4gb Processor Intel(R) core(Tm)i5-420M CPU@2.50Ghz
So game gani naweza nikaweka especial mpira pamoja na mengine
 
Msaada jamani
 
Back
Top Bottom