Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
Mods plz.
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.
Nadhani mnafahamu kama nina mpenzi mzuri ambaye anaweza kushika nne bora katika kila mademu 10 atakao
simama nao. Mimi na Demu wangu huyu kila tunapokua fargha baada ya kumpa manjonjo yangu ya kila aina
kuna muda unafika huwa ananikunja na kunifinya na makucha yake hadi mwili unavimba, ananila denda kama
anataka animeze na muda mwingine huwa ana nikaba na kubana ukutani na viungo vyake vina kua vimejikaza.
Je hii ndio orgasm?.
Vidume mnajuaje kama mwenzi wako ameridhika?.
Wadada kwa nini mnapenda ku-fake hii kitu?
Mada iko mezani shambulia mada, usimshambulie mwenzio.
Mods plz.
Halafu ukishajua kuzitofautisha...what's next?
Hebu nikumbushe umri wako please
Sasa ndio mtufinye na makucha?.Heheh,unaweza ukawa unaibiwaa kweupee ukajua kafika...
We smtym fake it coz tunaona mnasimamia show vzur lakn bado haiji na hapo tushachoka,so to simplify thngs ndo hvo,cha mcng muulze anatakaje stop assuming
umesikia tetesi au umeona kwa mpenzi wako?
Hatujadili "what is next".
Tatizo ni umri unakusumbua...mwanaume wa kweli huwa haweki mada kama hizi, shughuli yetu huwa kitandani.
unaibiwa mkuu,..