Je, Unajua kama paka ni kitoweo?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,115
16,023
Nchini Mozambiq katika mji wa Gaza kuna kabila linaitwa shangani watu hawa wakimuona paka mate huwatoka kabisa kwa uchu, husema nyama ya paka huwapatia nguvu ya misuli katika mwili.

Paka akionekana tu hukimbizwa kama muwindaji alieona sungura, tabia yao nyingine hawana wivu na dada zao kukupa dadake ukafanya naye mapenzi swala la kawaida tu.Sifa nyingine ni kuweza kugombana kwa mdomo bila ya kupigana wakiwa uso kwa uso.
 
Wamatengo kutoka Mbinga Ruvuma nao paka kwao ni kitoweo .


Pia nyani kwao ni kitoweo cha heshima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom