Je unaitumiaje Simu yako?? Je Wewe si Mtumwa?

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
57,728
92,145
Simu ni kitu muhimu sana kwa ulimwengu wa sasa, lakini je unaitumiaje ikuletee manufaa badala ya hasara? Nilichojifunza kuhusu matumizi ya simu ni kwamba watu wengi hasa vijana na watu wa makamo hutimia simu kama sehemu ya kuburudika, kuchati mambo ambayo wala hayana faida yoyote kwa ustawi wa maisha yake, utamkuta huyu anachati na demu huyu na huyu na yule kwa wakati mmoja. kwenye kupigana na umaskini hakuna kitu kikubwa kama kupata utulive wa akili.

Utulivu wa akili ni ile hali ambayo kichwa kinatakiwa kiwe kimetulia na kuwaza mambo mawili au matatu muhimu tu. lakini ukiendekeza kichwa chako kiwaze kuhusu simu utaaishia kuanza kuchati mambo ambayo yatakuletea kelele akili mwako tu na hivyo kupunguza uwezo wako wa kufikiria.

Kwa mfano unakuta mtu ana magroup kama sita hivi ya Whatsapp, ypu online FB, Instagram, Telegram n.k na wakati huo huo kuna simu inaingia na text sms inaingia pia, huyu mtu kamwe hataweza kuwaza jambo la maana ndio maana vijana wetu leo hii wamepotelea humo.

Hakuna muda mzuri kama wa asubuhi unapokaribia kuamka kitandani mwako, una muda mzuri wa kumshukuru MUNGU na kumalizia kupanga mipango vyema ya siku hio lakini cha ajabu ukiamka asunhi unakimbilia simu kuangalia aliekupigia/text na status zako na za wengine just incase you missed them usiku, kumbuka muda huo umelala very late ukichati upuuzi ule ule.

Kama wewe ni mpenzi wa simu basi wewe ni mtumwa wa simu na usitegemee jambo lolote la maana kwenye maisha yoyote labda kwa bahati au miujiza tu. Ni mara ngapi kwa mfano umetembelea jukwaa la Technology, uchumi na mengine ya JF, je una magroup mangapi ya Wajasiriamali, baishara na mengine ya uchumi kwenye Whatsapp? Je unatembelea FB page ngapi ambazo ni productive? Jibu unalo....

Amka Kijana, kila jambo na Enzi zake lakini usikubali Enzi hio ikumeze. Nimesema
 
Naitumia pale ninapotaka
 
Back
Top Bottom