Je unaitaji ndoa??ruhusu kusudi la mungu ;usilazimishe ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unaitaji ndoa??ruhusu kusudi la mungu ;usilazimishe ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 12, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Yawezekana mmoja wa wanaoitaji ndoa
  mpendwa mkabidhi bwana atakupa anaekufaa..watu wengi wameolewa kwa kulazimisha ama biila kusudi la mungu kuwepo..na hii imefanya ndoa nyingi kubaki comedy na wengine kuathiri watoto waliozaliwa..kama unahitaji hili ruhusu kusudi la mungu usilazimishe ndoa utajuta,,nasema hili nikiimaanisha kweli utahuduriwa na watu wengi harusi kubwa kesho yake uko kwa mamako mzazi yamekushindqa..atutaki aibu ikutokee mwana jf...sali omba funga...ukiona unamsahau unaemwombea anza chapa lapa mwambie mungu atafute mwingine

  Ndoa njema zitakazo fungwa wiki hii
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  mmmh....
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,494
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  dah unamcommand Mwenyezi
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,906
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  mkuu hebu tupe darasa zaidi, kivipi Mungu atakupa mke baada ya kuomba
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,307
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  asante
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,708
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wafundishe jinsi ya :pray2:
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Tembo dume utamjuaje?:A S tongue:
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante mwaya,kutukumbusha...
   
 9. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Aisee siyo mungu ni MUNGU!! ni kweli uliyoyasema bila Mungu hakuna kinachowezekana. Ila kuna wengine huwa wanasali wanapokuwa tayari wanamtu kichwani wanayemfikiria hivyo wanamwomba tu awapigie mhuri sizani kama inafanya kazi.
   
Loading...