Je unaipenda CCM au CHADEMA

wa CCM ametulia ni mpole na muelewa.
,mrembo.
wa Chadema ni full mcharuko,rasta zina miezi minne tangia zimesukwa.kwanza joto la Dar na kiangazi hiki unavaaje sweta zito namna hiyo?.
 
wa CCM ametulia ni mpole na muelewa.
,mrembo.
wa Chadema ni full mcharuko,rasta zina miezi minne tangia zimesukwa.kwanza joto la Dar na kiangazi hiki unavaaje sweta zito namna hiyo?.
Ww umeona yuko dar??
Hiv watu wa lumumba tatzo ni nini
 
Kweli uzuri upo machoni mwa mtazamaji, yani huyo dada wakijani anavyamwagiwa sifa dah! na ni sifuri kabisa

CHADEMA nimemuelewa tena vizuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom