je unaijua dose sahihi ya dawa mseto (ALu)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je unaijua dose sahihi ya dawa mseto (ALu)?

Discussion in 'JF Doctor' started by Red Giant, Apr 26, 2012.

 1. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya
  kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24
  anza muda wowote kunywa dose ya kwanza kisha subiri masaa nane na unywe dose ya pili (hakikisha masaa nane kweli) baada ya hapo subiri masaa 16 ndio unywe dose ya tatu, toka hapo hesabu masaa12 unywe ya nne, 12 tena kunywa ya tano na 12 mengine unywe ya sita.
  mfano: ukinywa dose ya kwanza saa 12 asubuhi basi dose ya pili utakunywa saa nane mchana , kutoka hapo dose ya tatu utakunywa kesho yake saa 12 asubuhi, ya nne saa 12 jioni ya tano saa 12 asubuhi na ya sita saa 12 jioni. utatumia jumla ya siku tatu. good evening
   
 2. A2 P

  A2 P Senior Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kibuyu rudia tena
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  mkuu ni hivi ukipiga dozi ya kwanza unsubiri masaa 8 kisha unapiga ya pili upo? kutoka dozi ya pili unahesabu masaa 16 ndio unapiga dozi ya tatu, yaani dozi ya tatu unapiga masaa 24 kutoka dozi ya kwanza upo? baada ya dozi ya tatu zinazo fuata ya 4,5 na 6 unakuwa unakunywa kwa interval ya masaa kumi na mbili. kama bado usisite kuuliza
   
 4. D

  Dan Geoff P Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Asante MFAMASIA
   
 5. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  pamoja sana mkuu
   
 6. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2016
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kuna dk kaniambia leo, nimeshangaa. Ndo nimeingia google kupata ukweli
   
Loading...