Wabogojo
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 354
- 87
Habarini za kazi wana Jf, nimeinasa habari hii hivi punde nikaona niwajuze wadau kwa kuijaribu hii kitu.
Napenda kuwafahamisha kua TTCL imefanya marekebisho yahuduma zake za broadband zisizo na kikomo (unlimited packages) katika maeneoyaliyotajwa hapo chini. Promotion hii inajulikana kama NDUKI PROMOTION. Katikapromotion hii neon NDUKI limetumika ili kumaanisha kitu chenye KASI kubwakuliko vingine, kwa mfano mchezaji wa mpira wa miguu akipiga shuti lenye kasikubwa inajulikana kwa lugha ya kimpira kua amepiga NDUKI kubwa,mwanariadha akikimbia kwa kasi kubwa pia inajulikana kama mkimbiaji huyo huaanatoka NDUKI.
Faida za NDUKI BROADBAND:
Miongoni mwa faida za NDUKI BROADBAND ni kamaifuatavyo:
· Kumekua na ongezeko la kasi (speed)
· Kumekua na punguzo kubwa labei (kwa mwezi)
· Mfumo wa kulipia umebadlika kutoka mwezi kwamwezi (kalenda month) kua siku 30 toka mteja aongeze salio.
· Mteja anapata connection kwa siku thelathini(30) toka siku aliyoongeza salio.
Vifurushi:
Huduma hiiimegawanywa katika vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji na ladha (demandand taste) ya wateja wetu kama ifuatavyo:
1. 256 kbps NDUKI Bronze(30,000/-)
2. 512 kbps NDUKI Silver(60,000/-)
3. 1Mbps NDUKI Gold(100,000/-)
4. Mbps NDUKI Diamond (200,000
Lengo la internet isiyo na kikomo
1. Kumwezesha mteja kutumia internetyake kwa siku thelathini (30) bila kukatika
2. Kumwongezea mteja hali ya kutumia nakuridhika
3. Kuongeza kasi ya internet
4. Kuwavuta wateja wengi wadowadogo nawa majumbani
Faidakwa wateja
2. Wigo mpana zaidi wa uchaguzi wavifurushi vya mwezi (siku 30) kulingana na mahitaji ya mteja
Vipengeremuhimu kwa mteja:
i) NDUKI BROADBAND haina KIKOMOCHA MATUMIZI.
ii) NDUKI BROADBAND ina KASIKUBWA kuliko internet zote nchini
iii) BEI ya NDUKIBROADBAND kwa mwezi imepunguzwa
iv) NDUKI BROADBAND ndiointernet yenye UHAKIKA wa kumwacha mteja akiwa ameungainishwa kwa mwezimzima (siku 30).
Lengo la promotion hii ni:
· Kuwarudisha wateja wa broadband walio ziachaaccount zao.
· Kuwavutia wateja wapya
· Kuongeza kipato cha kampuni
Tusaidiane kuwakumbusha watejakwamba:
i) TTCL inatoa huduma kwa kumjali watanzaniana kwa maendeleo yao..
ii) TTCL inatoa huduma bora kwa ajilibiashara zao na mahitaji
iii) yao ya nyumbani
iv) TTCL ndio kampuni pekee inayotoahuduma internet ya bei nafuu hapa Tanzania.
Matangazo ya kwenye redioza Clouds FM (vipindi vya Power breakfast, Leo tena, Jahazi na Amplifier) naRedio Free Africa (RFA) kipindi cha mambo mambo yameshaanza na mnaombwakusikiliza vipindi hivyo.
kwa maswali na ufafanuzi zaidi waweza fika katika ofisi yoyote ya TTCL au piga namba 100 (Call Centre).
Jioni njema!

- Intaneti ya bei nafuu kuliko zote Tanzania. Vifurushi vya gharama ya chini kwa mwezi mzima.
2. Wigo mpana zaidi wa uchaguzi wavifurushi vya mwezi (siku 30) kulingana na mahitaji ya mteja
- Huduma ya Intaneti yenye ubora na ufanisi wa hali ya juu
- Kasi ya ajabu
- Intaneti ya uhakika
- Kupakua (download) taarifa kwa muda mfupi
- Intaneti isiyo na kipimo cha matumizi kwa bei ile ile kwa mwezi mzima (siku 30)
- Waweza kuongeza muda wa matumizi ya siku 30 wakati wowote.
- Husaidia kupanga bajeti ya matumizi ya intaneti kwa mwezi.