JE, unahitaji Microscope kuona mwizi wa mchana?

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Nikikumbuka maelezo mengi yaliyotolewa siku za nyuma kutetea umuhimu wa radar ile ya mabilioni kwa Tanzania nashangaa sana. Makuadi hawa walijitahidi sana kueleza kuwa radar hii ni critical kwa ulinzi wa nchi na watu wake.

Swali ni je, ilikuwaje radar hii ya kisasa ikashindwa kuona ile ndege ya Qatar kuanzia kuingia hata kuondoka na wanyama pori wetu kama abiria?

Tanzania zaidi unavyoijua!
 
Mkuu Radar iliona ndege na hata twiga na wanyama wengine walionekana!! Lakini radar haiwezi kuzuia!!
 
The trouble with this country is that there are too many politicians who believe, with the conviction based on experience, that you can fool all of the people all of the time.
 
<br />
<br />
kwa hiyo mkuu mwita25 we ulitakaje kiupande wako..
 
Makes me believe Tanzania is special in a way - we go for some of the interantional standards while we are yet to satisfy even the basic ones. Can you imagine a traffic police insisting on fastening a safety belt while we have not even managed to ensure all passengers are seated - what belt should the ones standing use- standing belt?
 
The trouble with this country is that there are too many politicians who believe, with the conviction based on experience, that you can fool all of the people all of the time.

Mwita 25 umekua sasa, kumbe ilikuwa utoto tu unakusumbua.
 
Kama dege la jeshi kama lile linatua KIA na kupark kwa siku kadhaa na kisha kuruka likiwa limebeba abiria wanyama na hata Usalama Wa Taifa (UWT) ambao enzi ya Mwalimu waliona hata sindano iliyodondoka katika nyasi hawakuona sidhani kam rada itasaidia.
 
The trouble with this country is that there are too many politicians who believe, with the conviction based on experience, that you can fool all of the people all of the time.

Mwita are you seriously?
 
Naona kazi siyo ya rada.Nauliza hao wanyama walitoka vipi mbugani mpka uwanja wa ndege?Je hakuna kampuni za mizigo hapo airport?Nani anaruhusu kupakia mizigo kwenye ndege za mizigo?Na ni nani anaruhusu ndege kutua na kupaa anga za Tz?Ukipata majibu ya hayo maswali basi naomba tukutakene tuanze kugawana hii INCHIII YETU KILA MTU NA KIPANDE CHAKE HATA KESHO
 
Back
Top Bottom