Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Nikikumbuka maelezo mengi yaliyotolewa siku za nyuma kutetea umuhimu wa radar ile ya mabilioni kwa Tanzania nashangaa sana. Makuadi hawa walijitahidi sana kueleza kuwa radar hii ni critical kwa ulinzi wa nchi na watu wake.
Swali ni je, ilikuwaje radar hii ya kisasa ikashindwa kuona ile ndege ya Qatar kuanzia kuingia hata kuondoka na wanyama pori wetu kama abiria?
Tanzania zaidi unavyoijua!
Swali ni je, ilikuwaje radar hii ya kisasa ikashindwa kuona ile ndege ya Qatar kuanzia kuingia hata kuondoka na wanyama pori wetu kama abiria?
Tanzania zaidi unavyoijua!