Je, unahitaji kuwa na kipato cha ziada? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, unahitaji kuwa na kipato cha ziada?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Oct 27, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  kuuza, kununuliana, magari, nyumba, viwanja.

  Ikiwa unahitaji kuuza, kupanga, kupangisha, kununua, MAGARI, kiwanja,nyumba, apartment, duka, showroom, beach plot, warehouse, commercial plot, au bungalow USIHANGAIKE. Ukiwa Dar es Salaam piga simu namba 0717114409/0874225000/0755312233
  barua pepe; emanuel.kayinga@gmail.com .
  Hata kama una jamaa, rafiki au ndugu umemsikia anahitaji kuuza au kununua, kupanga au kupangisha tufahamishe tuwasiliane baada ya biashara kufanyika utapata mgao wa kamisheni .Kwa kifupi utakuwa umjiongezea kipato cha ziada


  Jaribu kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki, tengeneza mtandao wa kibiashara
  Uwe mjasiliamali'' You do not need a showroom to be a car dealer''.
  Ota ndoto ya kumiliki biashara yako mwenyewe, uwe na uchu wa kuwa mjasiliamali aliyefanikiwa.
  Tutakuongoza kukujengea mazingira ya jukwaa kwa lengo la kufanikisha biashara yako. Hapa hauna haja ya kuwa na msingi wa uwekezaji au mtaji, au kuwa na vitendea kazi au ofisi ghala au duka. Hutakuwa na wajibu wa kulipa mishahara kwa wafanyakazi. Sisi tutawalipa wao kwa kazi wanayokufanyia wewe kwa kuwalipa wao kamisheni kama fidia.
  Kwa kuanzia tumia mwongozo huu hapa chini.

  1. Orodhesha idadi ya watu unaowafahamu ndugu, jamaa na marafiki.


  Idadi yao isipungue 120. watumie ujumbe mfupi wa maneno ''ukiwa unahitaji kuuza au kununua gari nione'' au ukiwa unahitaji kuuza au kununua nyumba tuwasiliane. Ukiweza kuwapigia itakuwa vema zaidi. Lakini ikiwa umetuma ujumbe haujajibiwa usikate tamaa. Ipo siku wataukumbuka huo ujumbe watakapokuwa wamekutana na uhitaji. Matharani unatazama kipindi katika Tv au katika radio, katikati ya kipindi linatolewa tangazo linaloelezea habari za tembe inayoponyesha maumivu ya kichwa kwa haraka. Kwa sababu wakati huo hausumbuliwi na maumivu hutajali lakini siku utakaposumbuliwa na maumivu utalikumbuka lile tangazo.


  Chukulia hao 120 kama ndio msingi wa biashara.


  Usihishie hapo hakikisha kuwa kila mwezi orodha hiyo inaongezeka kwa asilimia 15. kumbuka kwa kutuma ujumbe wa maneno kwa watu 120 itakugharimu shs 500 kwa xtreme sms ya mtandao wa tigo.


  Anza sasa kujifunza kuwa mjasiliamali usisubiri kuanza baada ya kupunguzwa kazi (ridandansi) ''redundunce''. Ukiwa umefanya mazoezi kama haya ninayokuelekeza utatumia redundancy payment kuimarisha biashara yako. Kumbuka kuna makampuni makubwa kuliko hilo unalofanyia kazi yamefilisika, kampuni kama LEHMAN BROTHERS limeacha wataalamu kama wewe vijiweni. Kama haulijui hilo kampuni nenda google weka hilo neno utapata habari yake.  Mwisho chagua hivi leo kati ya kuajiriwa, kujiajiri, kuwa mwekezaji au kumiliki biashara yako kwa kuanzia mtaji wa watu 120 plus xtreme sms zenye thamani ya sh 500. Zingatia, awamu hii iwahusishe watu ambao umewafahamu katika muda wote maisha yako katika physical body.  Nimeambatanisha Buyer's property inspection report na checklist for evaluating used vehicles. Hizi nazo zitakusaidia kuifanya vizuri hii temporary job.


  kwa maelezo zaidi tuendelee kuwasiliana.
   

  Attached Files:

 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,412
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold chapter nimepapenda,chukua tano.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kamanda nilijua utapitia hapa tu...ha!ha!Ha!Ha!...mtoto wa nyoka ni nyoka tu........! Duuh ila mkuu Kitomai ujasiriamali upo damuni...khaaah!
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,412
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu kujifunza wenzako wanalimaje mpaka wanavuna sana kwa ukubwa wa shamba sawa na lako na mbolea ni ile ile, upoooooooooooooo.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  hii nimeipenda sana, tutawasiliana pakiwa na uhitaji mkuu
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KUMBE kwenye miti wajenzi wapo.......!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  asante sana kwa information
  we will keep in touch
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  hizo attachments zako mbona kwangu hazifunguki vizuri? yaani zimekatwa maneno yote hayasomeki, kunaonekana sehemu zenye tables tu....!
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kitomai mm natafuta Hiace Dungu engine 2L p'se tuwasiliane.
   
 10. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  click table then size kutokea kona ya juu kulia kuingia ndani (kuna dashed line inayoruhusu sizing) hope umeona table nzima sasa!!
   
 11. HarusiYetu

  HarusiYetu JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2009
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mjasiriamali. Pia ningependa tuwasiliane zaidi ilikuweza kupata njia nyingine za kukuza kipato.
  Pia kwa kuwa na blog na website ambavyo vinaelezea hayo uliyoyasema kunaweza kuyafanya yawafikie wengi zaidi na pia inakuwa na ubora zaidi. Mimi nipo tayari kuyaundia website na blog ilitufanye kazi tuwasiliane.
  www.harusiyetu.blogspot.com
   
 12. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  wazo lako nimelipenda ushirikiano ulioupendekeza nonaukubali. Tuwasiliane tupange kitu cha kufanya.
   
Loading...