Je Unahitaji kuagiza gari?

Samahani mkuu,nilikosea e mail yangu. myaboyz15@yahoo.com

Pia unaweza kutembelea website hii hapa chini www.lucusjapan.com

Namba ya simu ni ;+81-722-50-5006

Inawezekana unania ya kweli ya kufanya biashara au kuwa mjasiriamali, lakini your first impression haiko impressive na unaacha maswali mengi ya ambao wangekuwa wateja kujiuliza.
Kwa mfano unasema kuwa una showroom hapa Tanzania, unasubiri wateja wako wakuulize hiyo showroom iko wapi?
Ukienda kwa undani zaidi kwenye hiyo link uliyoweka unakutana na haya
Our Agent in Tanzania.

We would like to introduce Lucus Japan(T) Limited as our agent in Tanzania.Lucus Japan(T) Limited is located at Mikocheni opposite to Shoppers Plaza in Dar Es Salaam.
TEL: 255 22 277 1316

http://www.jdmgod.com/lucus/index.html

Sasa bado unataka wateja wako wakuulize hayo hapo juu ya mahusiano gani na wewe?

Ushauri: Sales ni jitihada ya mtu kutafuta ridhaa ya mtumiaji - kwahiyo basi your first impression may end up kutokupata ridhaa hiyo, fikiria, chukua maamuzi!
 
nahitaji HIno Bus pasengers 29 bei gani kwa wa Jep? la mwaka 1991 mpaka bongo bei gani na ushuru nijulishe ili tuweze kuwasiliana kwa mail yako ok mukubwa
ushuru wake utakua wa kufa mtu, note that.
ukiangalia sana hata siku hizi mjini hapa daladala nyingi ni coaster mayai, zile za box ni za zamani ambazo ni imara lakini ushuru wake kimeo bora uagize la mayai juu ya mwaka 2000.
 
Mimi nahitaji kuagiza gari [ Used car ] aina ya landcruser Vx toka Japani .tafadhali unijulishe itakuwa kiasi gani .Pia unijulishe taratibu zote ambazo zinatakiwa nizifuate ili niweze kupata gari hilo mapema.Mimi niko Mwanza kikazi.Kama kweli ameamua kutusaidia Wanajamii wenzako basi ile seriousness ionekane.
 
Tuwasiliane mkuu,nimeshatoa contact zangu zote,VX utapata.
 
Inawezekana unania ya kweli ya kufanya biashara au kuwa mjasiriamali, lakini your first impression haiko impressive na unaacha maswali mengi ya ambao wangekuwa wateja kujiuliza.
Kwa mfano unasema kuwa una showroom hapa Tanzania, unasubiri wateja wako wakuulize hiyo showroom iko wapi?
Ukienda kwa undani zaidi kwenye hiyo link uliyoweka unakutana na haya
Our Agent in Tanzania.

We would like to introduce Lucus Japan(T) Limited as our agent in Tanzania.Lucus Japan(T) Limited is located at Mikocheni opposite to Shoppers Plaza in Dar Es Salaam.
TEL: 255 22 277 1316

http://www.jdmgod.com/lucus/index.html

Sasa bado unataka wateja wako wakuulize hayo hapo juu ya mahusiano gani na wewe?

Ushauri: Sales ni jitihada ya mtu kutafuta ridhaa ya mtumiaji - kwahiyo basi your first impression may end up kutokupata ridhaa hiyo, fikiria, chukua maamuzi!

Asamte kwa ushauri mkuu,nimekupata.
 
Jamani msiwe na haraka na hii kampuni sio ya kuamini sana. Mimi nimekoma kufanya biashara na lucus...ni matapeli fulani hivi. Kwa hiyo kuweni makini nina uthibitisho wa utapeli wao. Nilipoona wameadvertise ippmedia nikajua ni ya viwango kama autorec kumbe balaa...baadhi ya waswahili ndio maana biashara zetu zinakufa baada ya muda mfupi. Labda ni mimi tu imetokea hivyo ila nimefikilia hata kuwafungulia mashtaka lkn dont take a risk na hawa jamaa na kwanza hata hiyo wanayoita branch yao hawajui chochote wanakwambai subiri tu...ni show room tu..
 
Back
Top Bottom