Je Unahitaji kuagiza gari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Unahitaji kuagiza gari?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JAY2da4, Jan 24, 2010.

 1. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  thanks, ngoja tutasambaze habari kwani binafsi sina mpango
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bei zako zikoje kaka? au unaweka cha juu % ngapi?
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nahitaji HIno Bus pasengers 29 bei gani kwa wa Jep? la mwaka 1991 mpaka bongo bei gani na ushuru nijulishe ili tuweze kuwasiliana kwa mail yako ok mukubwa
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  obvious bra dreamliner, iko wazi kabisa ndio maana hajaweka wazi kila kitu, in the long run atasema niPM
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kama ni kuagiza kutoka Japan, kuna unafuu gani kuagiza kupitia mtu wa kati na mtu kuagiza mwenyewe directly?
  Kama unayo showroom na umeshaagiza tayari yako incountry then it will make sense.
   
 7. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Utapata unafuu kwa sababu,nimekuambia nakusaidia kupata gari kutoka kwenye auctions za Japan,pia kumbuka kuagiza mwenyewe kupitia online kuna risks zake.Pia nina showroom Dar ,ukihitaji tuwasiliane.
   
 8. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tuwasiliane mkuu,Hino utapata kwa bei nzuri tu.Ushuru nitakuunganisha na clearing agent wangu hapo Dar akujulishe ushuru ni kiasi gani.
   
 9. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Bei inategemeana na gari mkuu.
   
 10. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Mkuu, je used parts unaweza kuniagizia?
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  dada usiwe nyuma kiasi hicho huo ni ubaili harafu kumbuka kuwa hata Jep kuna kanya boya kama kawa, sa bora umwagize mtu akununulie? kwanza mi nimeshuhudia mtu kaagiza gari toka japani aliloliona ktk net siyo aliloletewa,
   
 12. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu,used parts unapata bila matatizo.Ukihitaji tuwasiliane.
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  sioni kama yuko nyuma, anajaribu kuwa MWANGALIFU tu, huyo atayemwagiza anamwamini vp?
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naomba kufahamu wasifu wako wa kazi! Ikiwezekana tuwekee humu jamvini! Bongo matapeli ni wengi mno!
   
 15. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
 16. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  tuwasiliane kwa njia gani? email uliyoweka myaboyz@yahoo.com haipokei ujumbe, weka namba yako ya simu itakuwa rahisi kufanya mawasiliano
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  usalama wa pesa na mali upo vp mkuu
   
 18. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu inaelekea ni dalali, ujumbe wake ni huu, WAJINGA NDIO WALIWAO, wasio wajinga je!!??
   
 19. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Samahani mkuu,nilikosea e mail yangu. myaboyz15@yahoo.com

  Pia unaweza kutembelea website hii hapa chini www.lucusjapan.com

  Namba ya simu ni ;+81-722-50-5006
   
 20. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Usalama wa pesa yako upo mkuu,maana nina ofisi hapo bongo,ondoa wasiwasi.
   
Loading...