Je, unahisi kwanini unaendelea kuteseka juu ya Ex wako?

Pole sana mkuu. Ila maisha ni lazima yaendelee, nyanyuka jikung'ute.....chapa mwendo!

All the best.
Namna alivyokuwa ananipenda na kunitunza ( caring ), ... alifanya kila kitu ili nifurahie... mamaae walaya tabia yangu mbaya mbayaaa ndio ikamchosha mtoto wa watu, hadi one day before ya ndoa yake alinitafuta kwa simu tukapiga sana story na akaniambia anajua namna ninavyo umia ila hana jinsi.. mie mwehu sanaaa
 
Ukiumizwa hisia sana unabaki kuwa confused....unaona huwezi kumpata mwingine au hayupo wa kukupenda na kukubali tena.. so you are living in denial...wito kwa wote tuachane kistaarabu sio kufanyiana mbaya na kuishia kuwa damaged goods!cant move on..
Safi.
 
Namna alivyokuwa ananipenda na kunitunza ( caring ), ... alifanya kila kitu ili nifurahie... mamaae walaya tabia yangu mbaya mbayaaa ndio ikamchosha mtoto wa watu, hadi one day before ya ndoa yake alinitafuta kwa simu tukapiga sana story na akaniambia anajua namna ninavyo umia ila hana jinsi.. mie mwehu sanaaa 😢😢😢😢🤕🤕🤕🤕
Usiende kuloga ndoa yake tuu
 
🤣🤣
Nimeachana nae miaka 9 lakini namkumbuka ni balaa na tunawasiliana kwa ajili ya watoto na tunakula tunda, anaishi na jamaa lakini nikimuhitaji anakuja muda wowote ingawaje naishi na mwingine. Napiga mahesabu ya kurudiana nae
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yes i believe ni part ya process. Ujue tunatofautiana uwezo wa kutengeneza bond au connection, pia tunatofautiana kiwango cha mapenzi and mostly kuna watu ni irreplaceable yani utazunguka dunia nzima kupata mtu mwenye tabia kama ex wako unakuta ni kazi. Najua kuna watakaobisha ila wapo wanaune or wanawake hata ujitahidi vipi kumreplace unashindwa. Yani one of a kind type of people, wapo. So mtu unajikuta unashindwa kumove on haraka
Good.

Ila unajua kwamba, wapo watu waliokata hata miaka mitatu tangu waachane na X wao, but still wanakumbwa na hiyo hali.

Je nayo ni part of process ya kumove on?.
 
Back
Top Bottom