Je unafiki ni sifa kuu ya wana ccm

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Picha hii hapa chini inaweza kufupishwa kwa neno moja tuu - UNAFIKI. Eti Chenge na Sita wanatabasamu kabla ya kikao cha jana kilichowatupa nje wote!!!!

GO9G7785.jpg

 
ndo maana wanajiita Na.1


No. 1 lakini hamna lolote. Ukiwa ccm lazima uwe mnafiki na muongo..Lazima useme hapana kwenye ndiyo na ndiyo kwenye hapana ukikataa wanakushughulikia au unakuwa sio mwenzao.
 
Back
Top Bottom