Je unafanya mazoezi kupunguzwa uzito? Wanasayansi wanasema achana na hiyo kazi unapoteza muda wako bure.

Unafanya mazoezi afu una kula kama mchwa nguna tatu ni sawa na kujaza maji kwenye chujio
ms.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta hayaepukiki ndio maana hata ng'ombe na mbuzi wanakula majani ila still ukimchinja utakuta ana kiwese.

Good diet ni kula mboga za majani na michemsho isio na mafuta wadau. Ikibidi hata mafuta ya kupikia tubadilishe tuwe tunapikia ya nazi ama olive oil kwa wale tulioimarika kiuchumi. Other than that tutachemka tu.
 
Tushakujua umeimarika kiuchumi,hongera mkuu,ngoja PM yako ijae sasa hv
 
Mbona mimi nikiwa nakula natokwa jasho la hatari kubwa!
Ila mazoezi ni zaidi ya kupunguza uzito,
Mazoezi yanasaidia kuimarisha moyo uwezi kuimarisha moyo kwa kula!!!
Kwenye mazoezi unatoa jasho,uchafu nje ya mwili,
Jasho haliwezi kutoka kwa kula!!
Hata ule dona gumu kama chuma na maharagwe!

Sent using Jamii Forums mobile app

wakati ukuta.
 
Niko kwenye hiyo campain sili chakula cha wanga labda kwa kias kidogo nakula matunda sana, nyama mayai na mbogamboga kwa mwanzo inasumbua ukianza utaona mabadiliko mwenyw

Wewe ni mimi nimepunguza wanga kwa asilimia 90% nakula zaidi wanga mboga za majani zaidi na kama nikisikia njaa sana inabidi nitupie chakula kidogo kwa mbali
 
Back
Top Bottom