Je,unafahamu Maisha halisi ya ASP Muhammad Kirumira*?

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Anatambulika kama ASP Muhammad Kirumira ,jina la utani alikuwa akiitwa *Mwiyo Gwa Gwanga* maana yake ni mzalendo wakweli *Patriotic*

Alikuwa ni Afisa ngazi ya DPC ,District police commander, akitimiza majukumu yake katika sehemu mbali mbali ndani ya Kampala,UGANDA. kuanzia kituo cha Nansana police station in wakiso District,na akawa pia DPC ,Division police commander ndani ya jiji la Kampala miaka ya ,2014 hadi 2016 September.

Kipindi hiko Mkuu wa Jeshi la polisi Uganda,(IGP)Alikuwa Gen.Kale kayihuru.

Alifanya kazi kubwa sana ya kupambana na uhalifu katika maeneo hayo hasa Nansana,Kampala na Entebbe alikuwa anafahamu mtandao mzima wa uhalifu katika maeneo tofauti tofauti,ni yeye kuanzia mwaka 2014 kuelekea 2015 na 2016 ndiye aliyepambana na makundi makubwa ya uhalifu ,wakabaji na majambazi hasa kikundi cha *KIFEES* katika jiji la kampala.

2016,alianzisha movement ya kupambana na uhalifu na agenda yake ya *NO NONSENSE* ikilenga kufichua ma Afisa wakubwa wa kipolisi (WITCH HUNT) wanaoshirikiana na wahalifu katika kutenda maovu na uhalifu.

ASP ,Muhammad Kirumira alikuwa hapendezwi na namna Mkuu wa jeshi la polisi Gen.Kayihura alivyokuwa anaendesha jeshi hilo namna ambavyo uhalifu ulikuwa ukizidi,Rushwa na polisi kushirikiana na wahalifu pia jeshi la polisi kufanya kazi kwa matakwa ya wanasiasa alidai ni kuchafua sura ya jeshi la polisi kama kulinda taswira ya jeshi la polisi ni kujitoa mhanga au kufa acha afe,alizidi kusema kuwa *ukiongea unakufa,ukikaa kimya unakufa bora uongee na ufe kuliko kukaa kimya*

Tarehe 14 ya j.tano sept 2016 ,kulifanyika Mabadiliko ya ma Afisa polisi na kuhamishwa vituo (New police Reshuffle) ambapo ASP ,Muhammad Kirumira alihamishiwa BUYENDE DISTRICT kama DPC- Buyenge District Commander, kutoka old Kampala .watu wengi walishangaa kwanini Afande Kirumira ahamishwe kipindi ambacho alikuwa akipambana na uhalifu?.

Aliendelea kufanya kazi zake katika kituo kipya cha kazi Buyenge ,ila hakusita kuusema ukweli kuwa na polisi wa ngazi za juu kuanzia idara maalumu ya upelelezi wa uhalifu( crime intelligence department -CID at kibuli Headquarters,(kikundi cha kupambana na wezi na majambazi (flying squad unit),police professional standard unit ,wote wa kutoka makao makuu Kibuli ndio wanaoshirikiana na wahalifu kutenda uhalifu nchini.

Aliendelea pia kushtumu Rushwa ndani ya jeshi la polisi, pia hata kusema faini zinazokusanywa na traffic police yaani (express police penalty) hazifiki Ugandan Revenue authority, nyingi zinaliwa na walio juu.,pia alikuwa akipinga juu ya Ghost workers/Ghost police kuwa ukiacha kwenda police Siku kadhaa unafutwa lakini mshahara unaingia.aliendelea kuwa jasiri na kwenda kinyume na maovu yote yaliyokuwa ndani ya jeshi la polisi.

Tarehe 25/January/2018 alifunguliwa mashtaka makosa sita ,juu tuhuma alizofanya akiwa in charge ,tangu 2013/2014 huko Nansan,na old Kampala, makosa hayo ni ya Rushwa, kutesa RAIA(torture),kukamata Raia kwa nguvu,na kutumia madaraka vibaya ,alifunguliwa katika mahakamani ya kipolisi (Police court tribunal).

Afande Kirumira, aliendelea kusikitika juu ya Flying squad unit na professional standard unit inavyotumia waalifu aliopambana nao tangu akiwa old Kampala na Nansana wanavyotumiwa kutoa maelezo ya uongo dhidi yake .,shtaka ambalo liliacha watu hoi ni shtaka la kuwa ASP Muhammad Kirumira akiwa amemkamata muhalifu Joseph Bukenye akiwa akihudumu huko Nansana kuwa alikula chakula cha Bukenye bila ruhusa yake kiitwacho ROLEX(mix of chapati and fried eggs,).

Akisomewa mashtaka yake na katherine kusemewa ambaye ni police prosecutor tar 25,January 2018 ,katika mahakamani ya kinidhami (Police disciplinary court) ,Mohammed Kirumira alijisikia vibaya sana kwani aliiana makosa yote sio ya ukweli ni ya kusingiziwa.

Tarehe 31/January/2018 siku kadhaa baada ya kufunguliwa mashtaka aliamua kutangaza kujiuzulu nafasi aliyo nayo ili kutoa nafasi kwa mahakama kuwa huru kufanya maamuzi.hakuandika barua ila aliandika katika kurasa wake wa Facebook.

" *I have realised that my image before the administration will never change and given the fact that I am still a young man, I have resigned from the force to enable the Police court fulfill their motives* " a statement on his facebook wall

Kwani aliendelea kusema makosa yote anayoshtakiwa nayo no aina ya makosa aliyowahi kupewa ila yalitupiliwa mbali kwa kukosa ushahidi tangu 2010.

Siku iliyofuatia tarehe 1/February/2018 police wa flying squad unit ,walivamia nyumbani kwake Bulenga in Wakiso district .yeye akiwa ndani anagoma kutoka sababu police kutokuwa na Arrest warrant ,ila police walitumia grinders kukata mlango na kumkamata akitoka amejisalimisha mikono juu.

Jioni yake ,tar 1/2/2018 msemaji wa polisi Emmilian Kayima alisema kirumira ametenda kosa sababu amevunja sheria ya police (Police act) na amevunja code of conduct kwa kutishia kujiuzulu mitandaoni na katika vyombo vya habari ,utaratibu ni kuandika barua kwa katibu wizara ya mambo ya ndani na kusubiri barua ijadiliwe .aliwekwa Rumande kituo cha polisi cha Relini Kampala ,akahamishwa baadaye Kituo cha polisi cha Nalufenya police detention, huko Jinja district.

Mwezi huo wa February mke wake Maria Kirumira alivamiwa na watu ambao hawakujulikana na alienda chukua RB kituo cha polisi Bulenga police stations, So REF: 22/02/02/18.
Case Threatening violence.

February, 13 ,2018.aliomba apewe dhamana ila dhamana ilikuwa na masharti magumu .

Masharti ya fuatayo
1.awalete mapolisi (2) wangazi ya juu wamuwekee dhamana.

2.ku report police professional unit (PSU) kila siku kumbuka hawa ndio alikuwa anawashtumu .

3.kuto kuongea na waandishi wa habari.

Yalikuwa magumu akarudishwa huko rumande ila baadaye alipata wadhamini ,alipotoka alikuta mke wake Maria kirumira amezaa mtoto akampa Jina *Afande kaweesi*

Unajua afande kaweesi ni nani ?

Nitaendelea ,Natumai hadi ilipofikia hadithi ya maisha ya Afande huyu jasiri utakuwa umemfahamu vizuri ,misimamo,ujasiri na changamoto alizopitia .

Mungu amlaze Mahali pema huko alipo.

Imeandikwa na

Abdul Nondo.

abdulnondo10@gmail.com
 
Kirumira ndo anatrend huko mitandaoni ila sijui chochote kumhusu!

Thanx Nondo kwa kushare
 
Daah pumzika mahala pema peponi kamanda Kirumira hakika ulikuwa jasiri wa kukemea na kupambana na maovu bila kujali nafasi za hao unaowakemea
 
Exceptional soldier,May God rest him in eternal peace.Amen
 
Nimefarijika kukuona tena kiongozi ukiwa katika ubora wako.
Nimekumis kwenye vipindi vya kipima joto na malumbano ya hoja pale ITV.
Mungu akujaze nguvu kwani kila kitu kina mwisho.

NB. Uiendeleze habari hii kwani inasisimua sana. Hii ndio Africa.
 
Back
Top Bottom